Samwel Sitta ndiye aliyeifisadi CDA mpaka kufirisika

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu
 
inahitaji nguvu kubwa sana kuweza kumchafua mtu mwema...
 
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu

Unaweza kuufunika Moto unaowaka kwa kutumia kuni?
Unajisumbua!
Pole!
 
Halafu Chadema wanataka tumpe huyu jamaa urais NEVER!!!

Mtu mwenyewe flip flopper
 
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu
Kweli unataka tuamini sentensi yako hiyo kama ilivyo, bila facts, figures na evidence.

Duh, kweli mbombo ngafu.
 
Kajenga ofisi ya spika urambo alijua atakuwa spika milele, sasa sijui kama Makinda anaitumia au imekuwa miziemu. :biggrin1:
 
huyu kweli ni fisad, alijengaje ofc ya spika huko kwao porin? na hii ya CDA dodoma nayo inatia kichefuchefu, afu nawashaa mnaomtetea huyu jamaa kuwa ni m2 mwema! shame.
 
kama leo JK atafanya reshuffle ktk cabinet yake na jamaa akamwagwa, atabaki chama cha magamba au atakuja CDm????

Wewe Kingxvi tupe data zake kama kweli unazo otherwise...................
 
Oh Yes thank you sasa watu tumeamka ni fisadi toka zamani nashangaa watu kumsifia hivyo sasa hivi...

Oh Yes huyu mtu hatufai kabisa...

"When we blindly adopt a religion, a political system, a literary dogma, we become automatons. We cease to grow
 
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu
hivi nyie watu wa magamba hamwoni noma hata kuanzisha hizi thread feki...unatumia kichwa gani kufikiri?cha juu au chini......
 
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu

Mtu aliyeanzisha hii thread ni wa kuhurumia na utaendelea kulala hivyohivyo wenzio wanatoa michango ya kujenga nchi.

Hivi hili suala kwa nini unalitoa leo??? hivi kama ana kashfa kama hiyo siku zoooote hizi RA na wenzie wangemuacha?......................endelea kuokoteza baba...mtazitafuta kama kuku na msizipate.

mpotezeeni mpuuzi anatafuta umaarufu humu hupati ng'ooooooo.
 
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu

lete data na ushahidi wa kutosha mana humu ni watu na akili zetu,hatuwezi kushawishika na vimistari miwili au mitatu. kwanza HAO CDA WENYEWE WAMEOZA,WANANCHI WALISHALICHOKA SIKU NYINGI. JIPANGE VIZURI KUINGIA NA HOJA HUMU.
 
Kweli unataka tuamini sentensi yako hiyo kama ilivyo, bila facts, figures na evidence.

Duh, kweli mbombo ngafu.

Ahsante sana Mkuu. Kuna juhudi za nguvu sana za kumnyamazisha Sitta kuhusu pingamizi lake la malipo fisadi ya shilingi bilioni 113 dhidi ya kampuni fisadi ya Richmond/Dowans. Wanajitahidi kila wawezalo ili kumnyamazisha lakini naye kishaapa kwamba hatakaa kimya wakati wahuni/mafisadi wa Dowans wanataka kufanya wizi wa mchana mweupe wa mapesa chungu nzima ya walipa kodi wa Tanzania.
 
anajifanya anapinga ufisadi kwenye mambo asiyokuwa na manufaa nayo nayeye ni fisadi mzuri tu ndio alyesababisha cda dodoma mpaka leo kushndwa kufikia malengo ya kuwa mjii mkuu sababu jamaa hela zote za miradi kipindi kile alikula bila aibu

Sijui lengo lengo lako katika post hii ila nakubalina nawe katika pointi moja kuwa Samwel Sita naye ni fisadi tu. Mtu huyu Sitta na Dr. George Mlingwa ndio walioua kwa njia za kifisadi kabisa juhudi za Nyerere na Sokoine kuhamishia makao makuu ya Tanzania kwenda Dodoma. Abuja iliyokuja kuamuliwa miaka kadhaa baada ya Dodoma kuamuliwa ikafikia kukamilika wakati Dodoma hadi leo bado inasuasua. Pamoja na Kuwa Sita anatoka nyumbani Tabora, sijawahi kumshabikia hata siku moja.
 
Miaka yote hii hawakujua Sitta kama fisadi mpaka pale alipotoa kauli ya kupinga malipo fisadi kwa kampuni hewa ya Dowans!!! Ndio wakakumbuka kama Sitta ni fisadi!!!! Halipwi mtu hapa mpaka kieleweke!!!!
 
Back
Top Bottom