Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

Ukweli ni kuwa kuna watanzania wawili tu wanaweza kwa sasa kututoa katika rushwa na kurudisha nchi kwenye mstari, Dr Slaa na Sitta kama mmoja wao atakuwa rais. Hawa ni watu ninaowafananisha na Satta
 
huyu jamaa ni mnafiki na aaminiki kabisa mkuu,kuna baadhi ya mambo anakuwa kama ni mtu mwema na mengine ni kituko...ishu ya uraisi 2015 anaonekana kama anapigana upande wa watanzania kwasababu halipendi kundi la el lakini ukija kwenye posho ndio wakwanza kutaka iongezwe...nadhani hatufai cdm....
hiyo ni tabia ya kla politician hipocriss so kama hivyo naona anafaa
 
Sitta anafaa kwa sababu tatizo la kimsingi hapa Tanzania yetu ya leo ni uongozi dhaifu usio wa kizalendo unaoletwa na mfumo wa kifisadi ambao kama ni kweli Sitta ana "chuki binafsi" na mafisadi wakuu na mfumo wao huu basi atakua na extra incentive ya kuong'oleya mbali huu mfumo na wale wakuu wake na hiyo atakua ametuondolea tatizo kubwa sisi WANAnchi hii.
 
tatizo la sitta hajadhihirisha kwa vitendo kama kweli anawachukia mafisadi.na huu ndio udhaifu wake,anaweza kulirekebisha hilo kuanzia sasa!
 
anayejua, naomba simu ya mh. Samwel Sitta ninahitaji tete a tete na yeye

muda wa mabadiliko katika nchi hii umefika bila kujali yupo chama gani ilimradi anadhamira ya mabadiliko kutoka moyoni, hata kiongozi wa NTC alikuwa moja wa mawaziri wa Gaddafi
 
Msikatishe tamaa watu wanaopambana. There are many fronts but the struggle is one.

kijana wangu kitila mkumbo hakuna anayekatishwa tamaa,lengo ni kumuambia sita aamue kimoja kama yupo in au out na sio katikati.ni hilo tu.
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu,Sitta anatusaidia wananchi kuijua CCM na serikali yake vizuri tena anatufundisha na kutuamsha ili tuzijue na kuzidai haki zetu.
 
Wala sipendekezi ajiunge na chadema, maana ana tama sana ya madaraka. Asipopewa nafasi ya kugombea urais atakigawa chama. Ni mbinafsi na mwenye chuki. CCJ yake ikimshinda ajiuzulu siasa tu. Hana lolote ni mnafiki tu huyo 6
 
Hao vijana wetu bado wanasoma magazeti kama misahafu ndo maana walishangilia, of coz na magezeti mengi nayo siku hizi yanandikwa kama misahafu, ni mitamaa tu, hamna mtu humo,
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu,Sitta anatusaidia wananchi kuijua CCM na serikali yake vizuri tena anatufundisha na kutuamsha ili tuzijue na kuzidai haki zetu.

wananchi walishaamka toka1995 enzi za mrema walikosa coordination tu.sitta haeleweki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom