Hapa muhimu ni theluthi mbili. Iwe isiwe lazima ipatikane. Hawawezi kula bure tu fedha zetu. Lazima wazikipe kwa kutupa kura za NDIYOOOOOOOOOOOOOO!
Hizo kanuni zinaweza kuwa zimewekwa ili kunyonga uhuru wa hiari ya wajumbe kupiga kura wapendavyo, na hatimae kuminya na kusagasaga maoni ya wananchi na kuwanyima katiba waliyotarajia.
Hivi maana ya kupiga kura ni ipi?ndiyo maana walikuwa wanang'ng'nia kura ya wazi
kama ulipata shinikizo kufanya hivyo, ukihakikishiwa usalama kwa nini usibadili uamuzi.
Walioko bungeni hawawezi kuwakilisha wananchi kwa sababu hawajachaguliwa na wananchi, ndio maana wameondoa maoni ya wananchi na wameweka ya kwao!!Walioko bungeni wanawawakishia hao wananchi