Samsung galaxy note 4 with hardware issues

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,782
3,910
Kama heading inavyosema.
.

samsung galaxy note 4 ina tatizo la display yaan ya kubadilisha,inaonesha giza tu tho haina crack.
.
HISTORY YA SIMU
-km Thread zangu zngne znavyoonesha hua nmejkita kuuza electronic devices,simu tajwa apo juu ni mpya kabisa,bahati mbaya siku kadha zilizopita kabla mzgo haujaenda kwa mteja,hua nazitest mwnywe,bahati mbaya box ilianguka , kuikagua simu haina crack but blank display ila kila kitu kingne kna function.
.
since natarajia kua dsm soon,in advance simu tajwa hapo juu itauzwa kwa best offer kulingana na tatzo husika.
-mteja ataamua mwnywe anunue display;mpya au anayo spare kutokana na mishe zake au chochote atakachoamua.

.
Nimeambatanisha sample ya samsung note 4 inayozungumziwa hapa.PM or Comment.thanks!
 

Attachments

  • note4-1024x636.jpg
    note4-1024x636.jpg
    43.3 KB · Views: 43
Note 4 mint condition used iliyonyooka unapata kwa 300k halafu wewe unakuja kutuambia hiyo Housing unauza 250k? Hivi upo serious kweli mkuu.Simu ni kioo mkuu.
 
Note 4 mint condition used iliyonyooka unapata kwa 300k halafu wewe unakuja kutuambia hiyo Housing unauza 250k? Hivi upo serious kweli mkuu.Simu ni kioo mkuu.
.
kweli mkuu hukuona kwny tangazo nmeandika ' itauzwa kwa best offer kulingana na tatzo husika' ,business maelewano tu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom