Samsug Galaxy S3 Original

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,548
3,550
Wadau hivi hii simu kwa bei ya mkonon unaweza kununua shilingi ngapi?

Pia unaangaliaje specifications zake km internal memory?
 
mkononi average ni 300,000 na internal yake inaanzioa 16gb. zipo pia za 32gb na 64gb. be aware kuna s3 feki nyingi sana.
 
nashukuru mkuu,,sasa hii internal memory na ram yake nazingaliaje?

nenda setting halafu application manager, swipe kulia au kushoto angalia chini utaona ram na internal memory

ila simu za kichinA wanacheat so be carefull
 
nenda setting halafu application manager, swipe kulia au kushoto angalia chini utaona ram na internal memory

ila simu za kichinA wanacheat so be carefull

Haina mbaya mkuu, salute!
Af zile code za kuangalia sensor na mazaga mengne huwa ni *#0000# au?
 
Mkuu hiyo ya kununua kwa mtu huwa haina bei maalum, inategemea ntu na ntu jinsi alivyoipata!
 
mkononi average ni 300,000 na internal yake inaanzioa 16gb. zipo pia za 32gb na 64gb. be aware kuna s3 feki nyingi sana.

Chief Mkwawa niaje mkuu ebhana naomba unisaidie nikiwa na laki 3 naweza pata simu gani dukani kabisa smart phone iwe Samsung au huaweii au ingine yoyote but isiwe tecno tuu Shukrani!!
 
Chief Mkwawa niaje mkuu ebhana naomba unisaidie nikiwa na laki 3 naweza pata simu gani dukani kabisa smart phone iwe Samsung au huaweii au ingine yoyote but isiwe tecno tuu Shukrani!!

Ingawa umetaka chief-mkwawa, but naweza changia kidogo. Nitaziweka katika magroup according to OS.

Kama Android: Huawei y300, Nokia XL, Huawei y501,

Windows OS: Lumia 520, 620, 525 au 530

Mi ndio hapo tu naona easy kupata shop. Ila kama upo majiji makubwa unaweza pata LG, Xperia, na nyingine.

Ila be aware na clones.
 
Last edited by a moderator:

Safii mkuuu kwa samsung siwezi kupata hapo na hizo lg au sony model kama zipi napendelea zaidi OS ya Android Shukrani!!
 
Last edited by a moderator:
Safii mkuuu kwa samsung siwezi kupata hapo na hizo lg au sony model kama zipi napendelea zaidi OS ya Android Shukrani!!

Kama sio mvivu kusoma, soma hii Link chini:

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/660214-smartphone-za-bei-rahisi-unazoweza-kununua-17.html#post10079527
 
Sawa mkuuu ngoja nipitie je hapo kati ya hizo nokia Lumia ulizonitajia ni ipi ambayo ni latest na ambayo naweza nikapata kwa laki 3 shukrani in Advance!!

Hizo Lumia zote zilizotajwa ni mwaka 2013 hadi 2014. Zote hizo utapata kwa hiyo bei.

Kuna 625, 630 kidogo bei itazidi ila tamu zaidi.
 
Leo nimeletewa Samsung Galax S 4 feki lakini hyo code test ya *#0*# imekubali kweli kuzijua simu original inabidi uwe makini sana™:D:D:D:D:D

*#0*# ili kugundua feki nendaa kwenya sensor halafu nenda image test utaona picha kama ya sungura.simu feki za samsung wameshindwa kabisa kuweka picha hii
 
Back
Top Bottom