Samaki!!!!!!!!!!

sato ndo mtamu....
sangara ana shombo............
halafu kama unarudi dar niletee sato.....
nitakurefund....
na zee langu Asprin atakuongezea cha juu..

BT me makazi yangu ni huku lake zone. dar mpk dec kuja kushangaa shangaa!
 
Last edited by a moderator:
Duh nembe ni mtamu sana tena umkute ana mayai yake halafu una ugali wa unga wa muhogo a.k.a udaga weweee hapatoshi hapo:clap2:
 
Ruhazwe JR samaki jaman samaki nembe kumbe ni mtamu eeh,me cjawah kumla.ngoja ntajarbu kumuonja!
 
Last edited by a moderator:
we charminglady ...tulikuwa wote jioni hii nini? maana nilikuwa n staff wenzangu kwenye gari na tulikuwa tunajadili topic kama hiyo.... ndo wewe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom