CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
Hope mko poa wana Chit Chat,
naomba kuuliza hivi ni kwanini samaki Sato ni ghali kuliko sangara? pamoja na sato kuwa ghali ndio samaki anayependwa na watu wengi mf. utakuta katika mahotel mengi ukiagiza samaki utaletewa samaki Sato na sio sangara.... Mara nyingi naona sangara hutumika sana for export kuliko sato... ni kwanini lakini?