Saluti kwako Lema: Zitto, Kitila na Mwigamba walitaka kugeuza CHADEMA tawi la CCM

Nampa saluti Mh. Godbless Lema aliyepambana kuhakikisha kuwa Mwigamba anadhibitiwa wakati wa mkutano wa Chadema na laptop yake ikadukuliwa ili kuonyesha mipango ovu ya Mwigamba, Zitto na Kitila kutaka kuigeuza Chadema kutoka chama kikuu cha upinzani na mtetezi wa wananchi kuwa tawi la CCM. Mipango ya wasalitii ilikuwa na nia ya kudhoofisha harakazi za kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa “mkoloni” mweusi CCM na kuwapatia uhuru na maendeleo ya kweli wananchi wa Tanzania.

Juhudi za Lema zimesaidia wasalitii hao kugundulika na kujiunga rasmi na CCM kupitia tawi lao la ACT. Kama isingekuwa ujasili wa Lema, leo hii Chadema ingekuwa tawi la CCM, kama ilivyo ACT. Sasa ni wajibu wa UKAWA na Chadema kupanda majukwaani kwa nguvu zote ili kuwafahamisha wananchi wengi wa Tanzania kuwa ACT ni tawi la CCM wala siyo chama cha upinzani. Itakuwa kosa kubwa ikiwa UKAWA na Chadema watachulia poa propaganda za ACT kuwa ni chama cha upinzani kumbe ni tawi la CCM. UKAWA na CHADEMA watumie nguvu ileile waliyotumia kuwaelezea wananchi kuhusu uzuri wa rasmu ya pili ya katiba ya Warioba, na ubaya wa rasmu ya CCM yaani katiba pendekezwa, kuwaeleza kuwa ACT ni CCM, na kwamba vyama vya upinzani ni Chadema na umoja wa UKAWA. Wasipofanya hivyo, upotoshaji wa ACT utaendelea na CCM watahuishwa na ACT, na inaweza kuwafanya UKAWA na Chadema kutumia nguvu kubwa zaidi baadaye kuondoa upotoshaji wa ACT kuliko kama wakifanya mikutano sasa kuwaeleza wananchi rangi halisi ya ACT- kuwa ni tawi la CCM.

hivi nyie wanasiasa wa bongo msitufanye sisi watoto wadogo 2010 mlisema cuf na nccr ccm b sasa
 
hivi nyie wanasiasa wa bongo msitufanye sisi watoto wadogo 2010 mlisema cuf na nccr ccm b sasa hivi act nayo ccm b tuelewe nini sasa acheni hizo Mambo wote nyie wasaka tonge tu hakuna jipya mnatetea maslahi yenu bongo hakuna siasa kuna matapeli wa kisiasa upumbavu mtupo hakuna mwenye uchungu wa kweli na hii nchi
 
Watanzania si wajinga wakuwaamini hawa chagadema.Nani asiewajua kuwa chama chao ni cha ukoo wa Mtei na watu wa kaskazin?
Day Dreams.....!!!People are making money!MBOWE+MTEI=Manunuzi yote ya CHAMA kwa gharama kubwa!!,LISSU=Dada yake kapewa VITI MAALUMU tena kadi kapelekewa DODOMA,MTEI(Jengo la Ofisi),SLAA(Fedha ya Ubunge+fedha ya ukatibu Mkuu)!!Chadema siyo chama ni KITEGA UCHUMI cha MTEI.Watanzania watakuwa WAJINGA kama wataamua Kuchukua DHAHABU na kuwatupia NGURUWE.......!!
 
Anawatoa matongotongo mliyopewa na dj zero.
hivi wewe KENGE mbona unanitafutia ban kwa nguvu? kama huwezi kujadili hii mada kwa staha kwanini usiende ukojoe ukalale? tangu mlipofunga shule mnatusumbua sana humu jamvini. a notorious twit!
 
Duh!kuna vidudu hatari jamani!Leo kidududu huyu anamwita mwizi wa magari na m.uu.aji et mteule wa mungu.!!!!
Lema mteule wa Mungu huyu kijana, hebu fikiria wote wangekuwa waoga, leo chadema ingekuwa demu wa CCM kabisa
 
Watanzania wanaotaka mabadiliko watakapomjua Zitto vizuri hakika watamuogopa kuliko ebola.

Mimi sio mwanachama wenu; lakini ni mshabiki na mpiga kura wenu. Nilianza kumtilia shaka zitto toka mwaka 2009. Matamshi yake yalikuwa yanaonyesha anabadili msimamo. Kwa mfano, kuna wakati akawa anasema Mbowe ni kiongozi wake wa mfano. Baadaye akageuka na kusema Kikwete ni kiongozi wake wa mfano. Hapo nilipigwa ganzi.

Pili, alianza kudai eti yeye ni mjamaa. CDM sio chama cha kijamaa, toka kianzishwe. Inakuwaje kiongozi mkubwa kama yeye awe kwenye chama kwa muda mrefu, huku akitofautiana nacho katika jambo la msingi kama hilo?
 
Inabidi nguvu iongezeke kuanika wazi madudu yake,kuna wachache wavivu wa kufikiri wanamuamini sana huyu mtu.Wapo radhi kulala na kushinda njaa ilimradi wamempigia domo.Hiki kinaweza chelewesha mabadiriko maana wapiga kura wengi ni watu wakawaida na ndiyo rahisi kupotezwa.

Unafikiri kwa nini hayaanikwi maovu yake? Ni kwa sababu yeye pia anayajua maovu yao, so hakuna msafi happo
 
Ni kweli maana hapa Dar,watu ni wajanja sana hawataki kusikia CCM wala CUF(CCM B),NCCR-Mageuzi(CCM B)Wanaipenda CHADEMA Tu na majimbo yote WAMECHUKUA maana wamejitambua kama watu wa KILIMANJARO/ARUSHA kule ambako majimbo yote ni CHADEMA.CHADEMA Oyeeeeee!Watu wa vijijini hawajui chochote mfano huko kwa WASHAMBA Kigoma majimbo yote ni CCM.
Mkuu umeyafikishia ujumbe haya majinga kwa style kali sana! Teh teh teh!
 
Lema ubunge umemshinda, bila sapoti ya wachaga wenzie asingekuwepo bungeni
 
Nampa saluti Mh. Godbless Lema aliyepambana kuhakikisha kuwa Mwigamba anadhibitiwa wakati wa mkutano wa CHADEMA na laptop yake ikadukuliwa ili kuonyesha mipango ovu ya Mwigamba, Zitto na Kitila kutaka kuigeuza CHADEMA kutoka chama kikuu cha upinzani na mtetezi wa wananchi kuwa tawi la CCM.

Mipango ya wasalitii ilikuwa na nia ya kudhoofisha harakazi za kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa “mkoloni” mweusi CCM na kuwapatia uhuru na maendeleo ya kweli wananchi wa Tanzania.

Juhudi za Lema zimesaidia wasalitii hao kugundulika na kujiunga rasmi na CCM kupitia tawi lao la ACT-Wazalendo. Kama isingekuwa ujasili wa Lema, leo hii
CHADEMA ingekuwa tawi la CCM, kama ilivyo ACT-Wazalendo.

Sasa ni wajibu wa UKAWA na CHADEMA kupanda majukwaani kwa nguvu zote ili kuwafahamisha wananchi wengi wa Tanzania kuwa
ACT-Wazalendo ni tawi la CCM wala siyo chama cha upinzani.

Itakuwa kosa kubwa ikiwa UKAWA na Chadema watachulia poa propaganda za
ACT-Wazalendo kuwa ni chama cha upinzani kumbe ni tawi la CCM.

UKAWA na CHADEMA watumie nguvu ileile waliyotumia kuwaelezea wananchi kuhusu uzuri wa rasmu ya pili ya katiba ya Warioba, na ubaya wa rasmu ya CCM yaani katiba pendekezwa, kuwaeleza kuwa
ACT-Wazalendo ni CCM, na kwamba vyama vya upinzani ni CHADEMA na umoja wa UKAWA.

Wasipofanya hivyo, upotoshaji wa
ACT-Wazalendo utaendelea na CCM watahuishwa na ACT-Wazalendo, na inaweza kuwafanya UKAWA na CHADEMA kutumia nguvu kubwa zaidi baadaye kuondoa upotoshaji wa ACT-Wazalendo kuliko kama wakifanya mikutano sasa kuwaeleza wananchi rangi halisi ya ACT-Wazalendokuwa ni tawi la CCM.
Kamanda mbona huko watu walishatoka sasa hivi watu wanatangaza Uzalendo.

Habari ya Mujini ni ACT - Wazalendo.

Tulia dawa ikuingie kaza meno.
 
Lema jiandae kuondoka Arusha, Wana Arusha tunamtaka mzawa mwenye uchungu na mji wetu, Umetuvurugia sana arusha kwa fujo na maandamano yako ya kizuzu zuzu
 
Watanzania wanaotaka mabadiliko watakapomjua Zitto vizuri hakika watamuogopa kuliko ebola.
Watanzania wa wapi hao unawaongelea labda misukule yako ya Bavicha.

Siasa zako za kupanda juu ya bonnet la gari na maandamano nani anazitaka.

Naona Zitto kawafanya wote mmechanganyikiwa.
 
Hayo mabadiliko peleka TENGERU Hatuyataki!!Tunahitaji chama cha Siasa siyo......"Kitega Uchumi cha MTEI&Co" !!Usipoangalia na wewe hapa kwenye siasa unapoganga NJAA Utarudia kazi yako ya WIZI WA MAGARI......!!

Lema anategemea kura za wachagga wenzie Arusha, Hakuna Mwana Arusha mwenye akili timamu anaeweza kumpigia kura lema
 
Watanzania wa wapi hao unawaongelea labda misukule yako ya Bavicha.

Siasa zako za kupanda juu ya bonnet la gari na maandamano nani anazitaka.

Naona Zitto kawafanya wote mmechanganyikiwa.

Wakati nyie misukule mnakesha mitandaoni makamanda tupo field tunamchakaza shetwan mweusi ccm
 
Kamanda mbona huko watu walishatoka sasa hivi watu wanatangaza Uzalendo.

Habari ya Mujini ni ACT - Wazalendo.

Tulia dawa ikuingie kaza meno.
Watu wa aina yako huwa siwajibu. Basi tu leo.
 
Watanzania wa wapi hao unawaongelea labda misukule yako ya Bavicha.

Siasa zako za kupanda juu ya bonnet la gari na maandamano nani anazitaka.

Naona Zitto kawafanya wote mmechanganyikiwa.
Ninyi CCM mnahangaika bure, mmempata msalitii Zitto ambaye mlimtuma aibadiishe Chadema kuwa tawi la CCM lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Back
Top Bottom