Salute!

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Hi!
Tupo (tuko) pamoja sasa! Hivi leo ni tarehe 09-09-09 ndo maana usrname yangu ni 'tripo9'. Tarehe km hii zimebaki tatu tu in the history of mankind, yaan 10-10-10(mwakani), 11-11-11, 12-12-12 then kwisheney.
Hivyo hatunabudi kufurahia na kushukuru siku ya leo.
Cheers
 
Do you know something we don't?

From a purely numerological point of view what is the difference between 09 09 2009 and 09 09 3009?

One can say this is not a pure date, and that people would be more justified in citing 11/11/1111 au 2/2/2222.

Kwa hiyo usijisemee tu bila research.
 
Back
Top Bottom