Huyu ndiye mama wa mapenzi ya kweli. Imagine akina mama wengine kila kiungo wanacho lakini upendo kwa watoto ni mashaka!! Hapa inanikumbusha akina mama ambao huwa wanafungia innocent and helpless kids ndani wanaenda kujirusha, huku nyuma kibatari au mshumaa unashika godoro au nyasi halafu watoto wote na mali vina-perish!!!
Huyu mtoto akikua anatakiwa kum-treat mama yake in a special way.
Ninamsifu pia huyu baba/mume/kijana aliye-dare to marry this special mother.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.