Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Napendekeza,wanaume wanyolewe wanawake,na wanawake wanyolewe na wanaume,ingependeza zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: lin
Mi sijaelewa chochote! muda wote nilikuwa nafikiri kama mi ndio ningekuwa mnyonyoaji ningeweza kweli kutumia mikono yangu miwili au ningeongezea mkono wangu wa tatu? Pia nadhani ningekuwa ningekuwa mfanyakazi anaeongoza kwa overtime hata kama unpaid!
 
  • Thanks
Reactions: lin
Hiizo saluni nyingi ziko Huku Kinondoni...nadhani tunepa hoja ya msingi kwamba unaanzaanzaje............ni kitu kipya kwa utamaduni wetu.....naweza kuelewa mtu kwenda kwa Daktari lakini si kwa kunyoa jameni...............dah hata kama ni mwanaume kwa mwanamume yaani unampa **********yako akunyoe??????duh.................any way wenye imani ya Tomaso yaani hadi mpapase jaribuni mtujuze...............

Mkuu sehemu gani? hapo Kino tufahamishe kinaga ubaga nitembelee tafadhali ni raha flani nayo kunyolewa
 
lol! :A S 114:

shosti....hhaha trust wewe mwenyewe hutaweza kufanya...nilishawahi kujaribu mwenyewe nusu nijikojolee....yeah unaweza kumpa my husband wako akufanyie kama unayo ile wax kit yenyewe......ila kumbuka lazima awe sharp ikikugandia kasheshe unayo......
 
Rafiki yangu wa karibu kanihabarisha kuwa "Mamaaa" yaani My Wife Wake Wiki 3 zilizopita alienda kupata huduma za kawaida Saloon kubwa na ya kisasa ya kina mama katikati ya jiji. Baada ya hapo akaambiwa kuwa kulikuwa na huduma ya ziada.

Huduma hii ni ya kunyoa nywele za sehemu nyeti kwa namna ambayo nywele zote zinatoka na kukufanya "Kwa Bibi" kuwe kipara kabisa. Pia akanihabarisha kuwa Mamaa aliambiwa akinyolewa hivyo, nywele zinachukua muda mrefu sana kuota na wala hatoki vipele vya wembe.

Nilibaki najiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.

Wadau, hii imekaaje?

Bongo ndio wanaokwenda saluni kunyolewa, kwani kuna dawa za aina hiyo huuzwa na mtu binafsi huzitumia atakavyo mwenyewe, waendao saluni au kwa vinyozi ni wale wanaotaka kunyolewa kwa staili ya panki, au kwa viarakaviraka kama uwanjwa wa ndege ulivyo na viraka vingi.

Mashari ya kuingiza vipodozi ndio hayo yanayosababisha wenye visaluni wapitishe madawa hayo kwa njia za panya na kisha kuwa bidhaa adimu kuwahadaa wasio jua kuwa ni kitu cha pekee kumbe kama bidhaa hiyo ingekuwa huru kuingizwa kila mtu mwenye uwezo wa kuipata angeweza kujisafisha mwenyewe.
 
Ni kweli kina teknolojia ila if its against our civilised culture hell no. Mbona mpaka kesho wanakataa enginered baby huko walikoendelea its because of consequnces from the tech itself and its outcome so hii kitu ina social consequences nyingi to me hell no.
 
  • Thanks
Reactions: lin
hakika hii itanipitia mbaliiiii, nimekubali kubak na ushamba wangu lol.......
 
  • Thanks
Reactions: lin
Rafiki yangu wa karibu kanihabarisha kuwa "Mamaaa" yaani My Wife Wake Wiki 3 zilizopita alienda kupata huduma za kawaida Saloon kubwa na ya kisasa ya kina mama katikati ya jiji. Baada ya hapo akaambiwa kuwa kulikuwa na huduma ya ziada.

Huduma hii ni ya kunyoa nywele za sehemu nyeti kwa namna ambayo nywele zote zinatoka na kukufanya "Kwa Bibi" kuwe kipara kabisa. Pia akanihabarisha kuwa Mamaa aliambiwa akinyolewa hivyo, nywele zinachukua muda mrefu sana kuota na wala hatoki vipele vya wembe.

Nilibaki najiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.

Wadau, hii imekaaje?

Wanachochea ngono hao.
 
Uvivu huu utatumaliza walahi, mie niende kutanua miguu yangu kwa mtu kama vile najifungua aka? Halafu sehemu yenyewe ilivyo nyeti nikiambukizwa magonjwa kwa mikono na nyenzo zake je? Shauri yenu
 
Back
Top Bottom