Salum Mkambara wa channel ten anaboa!

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Huyu jamaa huwa anatangaza habari za biashara kwenye taarifa ya habari ya channel ten. Yaani anaongea kwa madoido hadi inakuwa kero.

Anatumia nguvu nyingi kuweka madoido kwa kurusha rusha mikono, mara miguu, mara ananesanesa kiasi kwamba hata anachozungumza kinakuwa hakina mantiki. Yaani ni kama yupo pale kwa ajili ya show off.

Mtu kama huyu sijui alipitia chuo gani cha utangazaji maana hajui kuwa yale madoido yake yanapoteza concentration ya watu katika kumsikiliza badala yake wanaangalia vituko vyake.

Nakumbuka alipokuwa ITV alikuwa na tatizo la confidence, wakati anatangaza alikuwa anajing'ata ng'ata na kukosea kosea maneno kila wakati. Sasa naona ana struggle kujenga confidence matokeo yake ndio anaharibu kabisa.

Jirekebishe ndugu!
 
Ni ulimbukeni wa wabongo.. Ukiona hivyo anawakomeshea ITV. Its like Ze Komedi ilivyokuwa nzuri enzi za EATV.. walipohamia TBC mbwembwe kibao kisa wanamkomesha Mengi.. Matokeo yake hakuna jipya
 
Back
Top Bottom