Big up mama Salma endelea na kazi nzuri ya kufanya follow up kwenye hiyo NGO yako. Hivi mungependelea awe jikoni anapika na kumsubiri mumewe arudi kazini ili amuwekee chakula mezani?
Mama Salma amesoma na ni wajibu wake atumikie Taifa hili kwa njia muafaka ambayo ni kuwa na NGO inayosaidia katika kutatua matatizo ya kijamii. Vile vile kila mtu ana priorities zake kwa hivyo sio lazima afuate ile ya Anna Mkapa.
Hata hiyo ya Anna Mkapa si inaendelea kufanya kazi katika low profile?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.