Ameenda kama Mwenyekiti wa WAMA, hao walioenda kumpokea ni kiherehere chao, na kama wametumia rasilimali za serikali wanaweza kuchukuliwa hatua (lakini wachukuliwe na nani?)
Yeah, amesomewa taarifa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya, na taarifa hiyo iliyokuwa na title hii: "Taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kwa Mh. Salma Kikwete (MNEC), mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) katika ziara yake Mkoani Rukwa 25 - 27 February, 2013".Anasomewa taarifa na mkuu wa mkoa? That is ridiculous, mkuu wa mkoa anamsomea salma taarifa zinazohusu nini
Wanajf, bado nashangaa kuhusu yanayotokea mke wa JK ana cheo gani kikatiba? Maana sasa watz tunafanywa kama misukule, hii mijitu inavunja katiba ya nchi wazi wazi na haiogopi. Mke wa rais, kiutaratibu hatambuliki na hivyo ni kama raia mwingine, hapaswi kupata priveldges kama rais, labda katika utawala wa kifalme. wataalam hebu tuwekeni sawa
Anasomewa taarifa na mkuu wa mkoa? That is ridiculous, mkuu wa mkoa anamsomea salma taarifa zinazohusu nini? kama ni ya kweli haya basi watanzania tukubali kwamba sisi ni mazuzu kupitiliza. Kwa style hii, na Ridhiwani naye atakwenda mikoani na kupolekewa na wakuu wa mikoa na kusomewa taarifa za maendeleo za mikoa.
Haya yanatokea kwenye utawala wa Kikwete tu, sina uhakika kama yaliwahi kutokea kabla. Kama utawala wa Nyerere hatukumsikia kabisa mama Maria Nyerere hadi pale alipofariki Nyerere ndipo tulianza kumsikia Maria, ni kwa vipi utawala huu umejaa mama Salma all over, halafu anapokelewa na viongozi wa serikali? Inakera sana.
Na hapo watu mnalalamika ni kwanini nchi inaendelea kuwa na madeni ilihali kinachofanyika hakionekani. Hivi hela ya mama Salma kuzunguka mikoani imetoka wapi kama siyo hiyo mikopo inayoongezeka usiku na mchana? Maana tunajua bajeti ya Ikulu haipitishwi na bunge, so ni wazi kwamba Kikwete anaweza kukopa tu huko na kuja kujipangia bajeti bila kuipitisha bungeni.
Mbona hatujawahi kusikia bunge likipitisha hiyo mikopo?
Ndugu yangu Lukolo,Anasomewa taarifa na mkuu wa mkoa? That is ridiculous, mkuu wa mkoa anamsomea salma taarifa zinazohusu nini? kama ni ya kweli haya basi watanzania tukubali kwamba sisi ni mazuzu kupitiliza. Kwa style hii, na Ridhiwani naye atakwenda mikoani na kupolekewa na wakuu wa mikoa na kusomewa taarifa za maendeleo za mikoa.
Haya yanatokea kwenye utawala wa Kikwete tu, sina uhakika kama yaliwahi kutokea kabla. Kama utawala wa Nyerere hatukumsikia kabisa mama Maria Nyerere hadi pale alipofariki Nyerere ndipo tulianza kumsikia Maria, ni kwa vipi utawala huu umejaa mama Salma all over, halafu anapokelewa na viongozi wa serikali? Inakera sana.
Na hapo watu mnalalamika ni kwanini nchi inaendelea kuwa na madeni ilihali kinachofanyika hakionekani. Hivi hela ya mama Salma kuzunguka mikoani imetoka wapi kama siyo hiyo mikopo inayoongezeka usiku na mchana? Maana tunajua bajeti ya Ikulu haipitishwi na bunge, so ni wazi kwamba Kikwete anaweza kukopa tu huko na kuja kujipangia bajeti bila kuipitisha bungeni.
Mbona hatujawahi kusikia bunge likipitisha hiyo mikopo?
Mkuu kama hufahamu mke wa rais kwa kiingereza cheo chake ni 'First lady'. Hicho ni cheo rasmi kwenye serikali, kwa hivyo usiumie roho ukimuona kwenye shughuli hapa na pale.Wanajf, bado nashangaa kuhusu yanayotokea mke wa JK ana cheo gani kikatiba? Maana sasa watz tunafanywa kama misukule, hii mijitu inavunja katiba ya nchi wazi wazi na haiogopi. Mke wa rais, kiutaratibu hatambuliki na hivyo ni kama raia mwingine, hapaswi kupata priveldges kama rais, labda katika utawala wa kifalme. wataalam hebu tuwekeni sawa
Wanajf, bado nashangaa kuhusu yanayotokea mke wa JK ana cheo gani kikatiba? Maana sasa watz tunafanywa kama misukule, hii mijitu inavunja katiba ya nchi wazi wazi na haiogopi. Mke wa rais, kiutaratibu hatambuliki na hivyo ni kama raia mwingine, hapaswi kupata priveldges kama rais, labda katika utawala wa kifalme. wataalam hebu tuwekeni sawa
alianza taratibu before 2010, mara tukamuona anamfanyia kampeni mumewe kwa kutumia magari ya serikali na ndege ya serikali! mara kaingia kwenye nec ya ccm, sasa anafanya ziara za kiserikali na anawakalisha kitimoto wakuu wa mikoa na kamati za ulinzi na usalama mikoani! mara tutamsikia ni mgombea kapitishwa kuwa mgombea mwenza! sina tatizo kama akiwa amepambana kufikia hayo madaraka na kama ikithibitika anazo sifa! ila kinachotia kichefuchefu ni hii hali ya kupelekana kizobazoba!
kama hujui nafasi ya mke wa rais kikatiba nakushauri rudi shule or do your self a favor kaisome katiba...! katiba hujaisoma unadai waendeshwa kama msukule ... watu bana ...