Salim Said Bakhresa ametajwa na Jarida la Forbes miongoni mwa matajiri kumi barani Afrika.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Utajiri wa Mtanzania watikisa mabilionea Afrika

http://www.forbes.com/sites/mfonobongnsehe/2011/11/16/10-african-millionaires-to-watch/3/

MFANYABIASHARA maarufu Tanzania, Salim Said Bakhresa ametajwa na Jarida la Forbes kuwa ni miongoni mwa matajiri kumi wenye utajiri mkubwa barani Afrika. Jarida hilo la kimataifa limetoa orodha ya mabilionea 40 kutoka Bara la Afrika mwaka huu na kuwataja wafanyabiashara 10, wanaoweza kuingia katika orodha hiyo ya mabilionea wakati wowote, akiwamo Bakhresa.
 
Weka source achana na mambo ya kuskia vichwa vya habari kwenye vipindi vya KUTOKA MAGAZETINI halafu unakuja kupost hapa
 
hebu asome kwanza hiyo habari
Imesema ametajwa kuwa miongoni the baadae inasema kuwa wanaoweza ingia orodha ya mwaka huu ilitoka march
 
10 African Millionaires To Watch

Said Salim Bakhresa
Nationality: Tanzanian
Source: Bakhresa Group
The extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzania’s largest conglomerate. The company’s interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The group’s Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.
Source: Forbes Magazine
 
Ni Kweli kabisa anastahili Awepo hapo huyu mzee ni balaa Kama mawe anayo
 
Safi sana. At least tuwe na mwakilishi wetu. Ila akirudi atuambie kwa nini hayupo kwenye Top Ten ya Tz tax payers kama ameweza kushika chat za Africa..
 
Ni mfanyabiashara makini. Ila tofauti ni kwamba hao wenzake walianzisha biashara zao from scratch...
 
10 African Millionaires To Watch

Said Salim Bakhresa
Nationality: Tanzanian
Source: Bakhresa Group
The extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzania's largest conglomerate. The company's interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The group's Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.
Source: Forbes Magazine

10 African Millionaires To Watch - Forbes#
 
ni mfanyabiashara makini. Ila tofauti ni kwamba hao wenzake walianzisha biashara zao from scratch...

na yeye? Soma historia yake,
baba yake aliiuliwa wakati wa mapinduzi znz na kabla karume alikua akila kwake hivyo karume kusikia bakharessa kauliwa nae..akaja juu kasema jamani mnaua tu kila mtu wengine hawa ndo walo tuweka hapa mjini...akamsaidia bakharessa huyu wa sasa kuja dar na kuanza na biashara ya kutendeneza viatu.yaani fundi viatu, na nyerere huyu hakumgusa kwa sababu ya karume
 
Safi sana. At least tuwe na mwakilishi wetu. Ila akirudi atuambie kwa nini hayupo kwenye Top Ten ya Tz tax payers kama ameweza kushika chat za Africa..
unajua huyu jamaa ni Mzanzibar wao hawamo katika TAX za bara, wakati kule visiwani nasikia wafanyakazi/wafanyabiashara wote toka Bara watahesabiwa km wageni na vitambulisho watapewa tofauti.
Mwenye ubavu akawaambie TRA huyu jamaa halipi kwanini mpaka kawa tajiri hivyo.
Vigezo vya kina Bill Gate na Slim wa Mexico kuwa Top 5 ni kuwa unaisaidia na jamii pamoja na maskini,
Nisaidieni Bakhresa amesaidia kijiji gani au ni wakati wa kugawa ..................................
 
anajua cheza michezo ndio maana hayupo kwenye tax payers wakubwa

kama ana wafanyakazi zaidi ya 2500 basi wastani wa payee as u earn ni karibu wastani wa million 100 kila mwezi
hapo bado vat
import duties
sales tax
corporate tax
lakini wabongo tukiwa na kampuni 300 tu mfano wa bakhressa group basi nchi hii itakuwa mbali
sisi wengine mahodari tu wa kusema kodi analipa ? Wakati sisi wenyewe ndio vichwa ngumu kabisa kulipa hata hivyo visenti
 
  • ...................... binafsi namtakia kheri na mafanikio zaidi isitoshe ametoa ajira kwa watu zaidi ya 2000 hii inamaana kwamba wastani wa watu 10,000 wanamaslahi ya kimaisha kupitia yeye,
  • hawa wengine Manji, Mohamed Enterprises na Mengi wako katika makundi yepi?
 
Back
Top Bottom