Kwenye list ya top tax-payers hayupo! Shamba la bibi!
Tatizo siyo lake bali la TRA wanaong'ang'ania kodi ya mishahara - PAYE, sigara, bia na kufukuzana na na wachuuzi wadogowadogo mitaaani.
Kwenye list ya top tax-payers hayupo! Shamba la bibi!
Ajira zake ni za watu wasioenda shule na huwa ni Mdini sana!! Count my word Ukienda Viwanda vya Mengi Ratio ya dini Huwa ni SIO KIGEZO depends on relevant Skills!! Nenda kwa Huyu Bwana ration ni 99% by 1% depends on religion and not skill!! Count my word!! But always if you dont count on skills means cheap labour!!
Weka source achana na mambo ya kuskia vichwa vya habari kwenye vipindi vya KUTOKA MAGAZETINI halafu unakuja kupost hapa
Sidhan kama angafanikiwa kama angekua anatumia kigezo cha din na si skills kwenye ajira!nimepata wasiwasi kuhusu info za watu weng hapa kuhus bakhresa kwan weng naona wanamuhukum kwa hisia na sio facts!!hiv timu ya azam ina waislam na wapemba tu au hii nayo haitumii skills!research ya ipp kuajiri 50-50 umeifanya lin?Tanzania inaelekea kubaya na nadhan humu jf hali inazid kuwa mbaya akiteuliwa mtu,akisifiwa,akiiba,akibaka watu wanaanza kuangalia ni din gan then wana comment,hii dhambi tutailipia siku moja.
kawapa ajira kina nani? Hebu kaangalie katika sea bus, kuna mgogo, njoo dodoma kuna mgogo katika ice-cream zake na keki?
company is managed by his sons.
Source: Forbes magazine
km kampuni zake wanaongoza watoto hapo mm nitapataje ajira? Nikienda zanzibar kweli mm mgogo tena mkisto nitapewa kazi na hao watoto wake.
Kumlinganisha na mengi aliyemuajiri farouk karim itv zanzibar, ni tofauti
nadhani una ugonjwa wa kutojiamini, mimi najua mpaka wazungu wapo pale bakhresa, wapo baniani, wapo zaidi ya wagogo na mahaya...lakini kuna ubaya gani mtu kuajiri ndugu zako ? Wewe hujui kwanza nyumbani ? Wote ni watanzania,
na farouk karim ni mwandishi wa kujitegemea sio mwajiriwa wa itv, yeye ni muuza magazeti na vitabu ndio kazi yake na uandishi wa kujitegemea na huwa anaiwakilisha itv znz
kama unazo sifa omba kazi kwake utapata kama nafasi ipo
pamoja na hayo wanae wao n wasimamiz ktka wakuu ktka kamun xo hawazuii ww kuajiriwa pale na kumbuka ile n kampun binafsi na yakifammilia hvyo top management itahusisha waid familia japo wameajiri na wazungu kiufundi zaid
anajua cheza michezo ndio maana hayupo kwenye tax payers wakubwa
Ajabu bidhaa za AZAM pamoja quality yake nzuri havipatikani madukani/supermarket Kenya. Tatizo lipo wapi?
Ndugu Hii research nimeifanya na ndio Maana huyu Bwana kwa kupumbaza watu ameamua kujenga misikiti kwenye kila kiwanda chake!! Hii ikimaanisha wafanyakazi wake Anawaandalia Maisha AHERA na sio Maisha ya sasa!! Iweje yeye awe na utajiri Mkubwa kihivyo wakati wafanyakazi wake Hawana chochote kwenye Maisha ya Hapa duniani? Ni bora Angejali dini na Huku akawa anawalipa Vizuri!! Sasa Unawalipa watu pesa kidogo hivyo ndio umewakwamua au ndio umewatumbukiza kunako Tanuru la Moto? Kwa mengi sijasema ameajiri 50% by 50% Kwani kwenye ajira hakuna sehemu inasema ratio iwe ni dini!! Kwani dini ya jirani yangu inanisaidia Vipi katika kupambana na ugumu wa Maisha? au dini Yako wewe Itanisaidia vipi? au Hata ya huyo Bakressa? NIMESEMA ANAZINGATIA SKILLS NA HAJAJENGA MAKANISA WALA MISIKITI KUNAKO BIASHARA ZAKE!!