Sales representatives at barclays bank

bigi 8

Member
Jan 23, 2013
19
3
Jamani nimeitwa interview kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani ?
 
Jamani nimeitwa interview kwa post ya sales representatives yoyote anayejua duties and responsibilities za kazi hii anijuze Hata mshahara wanalipa kiasi gani ?

kikubwa zaidi ni kuuza tu products zao hyo ndo kazi kubwa utakayokuwa unaifanya pamoja na kufungua akaunti za wateja ni kazi ngumu sana kumtafuta mteja nimeifanya hapo hapo mwaka 2007 mpka 2008 pale moshi
 
Mshikaji wangu alikuwa pale Kirumba Mwaloni branch 2011 posho ilikuwa kilo na nusu plus kamisheni kila aingizapo mteja.
 
Pia andaa buti yenye sole ngumu,na mwamvuli kwa ajili ya misele kitaa kusaka wateja.
 
Back
Top Bottom