Salamu

Lakini yupo mmoja ambae unampenda zaidi kuliko wote au sio?

Duh!!!..Kweli unajituma mpwa...Btw,ina maana hujui kuwa bht ni shemeji yako kwangu???,au makusudi tuu???....Heshima ichukue nafasi yake aisee
 
wenyewe wanasema WAHI NIKUWAHI!...sasa shemeji,what if bht akimkubalia ''muzee ya tuktuk''?:):)
 
Nasikia unashindwa kumhudumia ndo maana tunataka kukusaidia.
Bht tunaomba uthibitisho kama huyu ndo mme mwenza.
 
Hawezi kumkubalia,nadhani umeona hapo juu jinsi dadaako alivompa kubwa 'muzee ya tuktuk',sema anajifanya mbishi tu...Ila nina uhakika alikuwa hajui kwamba huyu(bht) ni shemeji yake ndo maana akaanza kumisbehave
 
Hawezi kumakubalia,nadhani umeona hapo juu jinsi dadaako alivompa kubwa 'muzee ya tuktuk',sema anajifanya mbishi tu...Ila nina uhakika alikuwa hajui kwamba huyu(bht) ni shemeji yake ndo maana akaanza kumisbehave
HEHEHE!tuombe mungu.(tatizo jamaa ana kizizi:D:D)
 
Nasikia unashindwa kumhudumia ndo maana tunataka kukusaidia.
Bht tunaomba uthibitisho kama huyu ndo mme mwenza.

Heheeeeeeee,mpwa una vituko wewe...Hujui sifa yetu watu wa Sukuma land nini,kwa kuhudumia akina mama sisi tupo juu,tunajua kupenda Nkwingwa(Atakuthibitishia mwenyewe B)
 
Duh!!!..Kweli unajituma mpwa...Btw,ina maana hujui kuwa bht ni shemeji yako kwangu???,au makusudi tuu???....Heshima ichukue nafasi yake aisee

huyu mie najua lengo lake baya kwetu.........

wenyewe wanasema WAHI NIKUWAHI!...sasa shemeji,what if bht akimkubalia ''muzee ya tuktuk''?:):)

haiwezekani kakaake na we unajua hilo

Nasikia unashindwa kumhudumia ndo maana tunataka kukusaidia.
Bht tunaomba uthibitisho kama huyu ndo mmewe mpenzi /QUOTE]

huyu ndo mpendwa wa moyo wangu....no one and I mean no one will ever replace him in my heart.

B you are the only one....haijalishi......
Fide enedelea kuwa fisi mkono haudondoki ujue......
 
Heheeeeeeee,mpwa una vituko wewe...Hujui sifa yetu watu wa Sukuma land nini,kwa kuhudumia akina mama sisi tupo juu,tunajua kupenda Nkwingwa(Atakuthibitishia mwenyewe B)

nshathibitisha mwache Fide arande na njia.......................
 
Nafikiri hapa ulitaka kusema hawezi kunikubalia au nimekosea?

Dah,hiyo ni spelling error tu mazee,sidhani kama kulikuwa na haja ya kuiquote kihivyo..Nimeshaiedit though..Naomba uifute basi(if you don't mind)
 
huo uharibifu wake ndo uuone sasa.................

kumbe alisharusha kete?.....!:D:D:D:D:D
ngoja nitoke kidogo!hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha

akifeli huwa hawaambiagi tu.......
anawaonea vitoto vya zanaki................
poa later......
 
huyu mie najua lengo lake baya kwetu.........

haiwezekani kakaake na we unajua hilo

Nasikia unashindwa kumhudumia ndo maana tunataka kukusaidia.
Bht tunaomba uthibitisho kama huyu ndo mmewe mpenzi /QUOTE]

huyu ndo mpendwa wa moyo wangu....no one and I mean no one will ever replace him in my heart.

B you are the only one....haijalishi......
Fide enedelea kuwa fisi mkono haudondoki ujue......

Nafurahi mnoooooooo kusikia hivyo mpenzi...Nami pia kwangu ni wewe pekee....kamwe hatatokea mwingine
 
Thubutuu,amfanyie kizizi bht anipe kibuti??,heheeeeee,itakuwa ngumu sana bwana shemeji...FYI hii ni chapa ya Ng'ombe bwana

Nitakuwa sijaamua sema niamue huyu bht atakuwa ananifuata mpaka Chawote we ni ruhusu.
 
baelezee laaziz wangu!!!!!!!!!!!!!

hehehehe!kwa mtandao huu BHT HACHOMOKI

yaani huwa najisikia kuchukua ile loud speaker niutangazie umma!!!!

Nitakuwa sijaamua sema niamue huyu bht atakuwa ananifuata mpaka Chawote we ni ruhusu.

poleeeeeeeeeeeeee...............
you know you cant..............we do also!!!
 
Nitakuwa sijaamua sema niamue huyu bht atakuwa ananifuata mpaka Chawote we ni ruhusu.

Heheeeeeee,nikuruhusu nini sasa(kwamba umtokee Mrs wangu ama?,hiyo itakuwa dharau sasa(kwa umpendaye) aisee)....Kama kweli unampenda utamlinda..Nami daima namlinda bht wangu so sahau mazee
 
Back
Top Bottom