Salamu

senks JS. Mi na Hommie tumemiss safari nyingine pamoja na wow wow wow

who is next wajameni? Fidel ni 2012 huyo tena kwa mbinde
 
dah, yaani nshukuru kwa kukumbuka kunipigia debe...............unajua tangu uniambie mkali mie nilijikalia pembeni nakusubiri wewe pekee uniunganishie................ thanks, nafikiri safari hii uko kikazi zaidi na atakubali.............. please facilitate.............

jamani mchumba wangu mbona hvyo tena mpenzi?????????? mi mbona nilishaandaaa ng'mbe kabisaa?????????????/ kwani imekuwaje tena.............. sema basi kama nimekukosea unisamehe.................. tuendeleezze tulipoachia............. mi mwenzio sijiwezi kabisa mamiiiiiiiiiii................... please.............

mi nilidhani ndo yalikuwa mapatano yenu sasa mie tena nipige debe si lazima nilambe na unga kabisa ili niwe kama wale wa posta...............
 
Hakuna anayeoa/kuolewa siku za karibuni tena?? Nahitaji kuwa mhasibu mkuu kwa mara nyingine nimejikuta ninamiss kushika hela nyingi ambazi si zangu tehtehtehteh
icon10.gif

Mi naoa hapo 2012 mchakato umesha anza tunasubili kwaresima ipite ili mnisaidie maombi nipate kitu cha ukweli kama Lily Flower jamani sala zenu ndo nguzo yangu na Mungu atanifunilia nipate mke mwema. Amina
 
tafadhari mkulu tuheshimiane, hajaniacha, yaani mnavyotamani aniache muanze kusarandia..............looh.......... mlie tu.............. tuandalieni michango kabisa..........

taratibu sasa na wewe shemeji.......hasira za nini???
 
hakuwa mchumba yule Twinuska!pale nilipita tu dia ,ah ah ah,c men uwa wanasema hivyo?na mm nilipita tu hana lolote

Kwa mtindo huu kupata mchumba ni bonge la mtihani lol jamaa anajua kapata kumbe kapatikana mmh kazi tunayo.
 
Mi naoa hapo 2012 mchakato umesha anza tunasubili kwaresima ipite ili mnisaidie maombi nipate kitu cha ukweli kama Lily Flower jamani sala zenu ndo nguzo yangu na Mungu atanifunilia nipate mke mwema. Amina
I will do the needfull binamu, maombi kwa sana mke mwema atapatikana tu.
 
una hela ww?c unajua hapendi mtu?alau kwnn unataka Twin ndo aje kunambia?ww domo zege?haya one mo chance mwaga sera zako fasta

jamani mchumba wangu mbona hvyo tena mpenzi?????????? mi mbona nilishaandaaa ng'mbe kabisaa?????????????/ kwani imekuwaje tena.............. sema basi kama nimekukosea unisamehe.................. tuendeleezze tulipoachia............. mi mwenzio sijiwezi kabisa mamiiiiiiiiiii................... please.............[/QUOTE]
 
senks JS. Mi na Hommie tumemiss safari nyingine pamoja na wow wow wow

who is next wajameni? Fidel ni 2012 huyo tena kwa mbinde
huyu safari hii atafanya tu HATA KWA MIJELEDI!...tumechoka na ma-sinia-bachelaaz.bachela gani mvi kibao,lol:D
 
huyu safari hii atafanya tu HATA KWA MIJELEDI!...tumechoka na ma-sinia-bachelaaz.bachela gani mvi kibao,lol:D

Nitajitahidi nikuunganishe na mchumba mlokole unisaidie anasema nalewa mno ninywe 2 tu.
 
Nitajitahidi nikuunganishe na mchumba mlokole unisaidie anasema nalewa mno ninywe 2 tu.
wewe muitikie tu kwamba sinywi kabisa....!then kila ukinywa unapitia kwa aswile unakula kitunguu pale.harufu yote KWISHNEI:D
 
wewe muitikie tu kwamba sinywi kabisa....!then kila ukinywa unapitia kwa aswile unakula kitunguu pale.harufu yote KWISHNEI:D

Hahahaha je siku ambayo anataka kupewa haki ya msingi napo si natakiwa nisionje kabisa?
 
Hahahaha je siku ambayo anataka kupewa haki ya msingi napo si natakiwa nisionje kabisa?
UNAKAMATA VALUU!lakini unaichanganya na red-bull.harufu ukishapiga sana unamtuma masai akanunue matunda ya zabibu.hapo ATASUBIRI MZEE!..wewe unajikunja tu kamaaaaaaaa.................................:D:D
 
Hahahaha hii cock tail ya Valuu na redbull alafu zabibu unamkumbuka yule mzee sasa hapa si nitamuumiza mchumba jamani lol itakuwa balaa alafu namix na maziwa hapo kazi tu.
 
Back
Top Bottom