Salamu zangu kwenu nyote

Nov 25, 2013
56
9
Naomba kuchukua nafasi hii adimu kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha sote kufika siku hii kubwa ya x mass tukiwa hai nakuwatakia watanzania wenzangu wote popote walipo dunian heri ya sikukuu ya x mass na mwaka mpya, hakika ni upendeleo wa ajabu kama tutaweza kuumaliza mwaka salama, basi mungu akabariki mwaka mpya utakaoanza tuwe na mawazo mazuri ya kuweza kubadilisha maisha yetu ili yawe mazuri zaidi kiroho na kiuchumi, mwaka utakao kuja akapate kutupa amani na mshikamano kote bara na visiwani kwani nafaham utakuwa mwaka wenye mengi makubwa kama katiba mpya na uchaguzi wa serikali za mtaa pamoja na uchaguzi kwenye vyama mbalimbali, mungu atuongoze umoja na amani vikatutawale hadi mwisho wa mwaka.nawatakia kila ala kheri nyinyi nyote katika yale mtakayoyafanya yaweze kufanikiwa.amen.
 
Back
Top Bottom