Salama Jabir wa Mkasi, Lugha Chafu hii Haikubaliki Hata Siku Moja

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
34
Tangu kuanzishwa kwake, nimekuwa mfuasi mzuri wa kipindi cha MKASI kinachorushwa na kituo cha East Africa TV. Jumatatu akiwa anamhoji msanii Diamond, Salama Jabir alimuuliza msanii huyo, KWA MARA YA MWISHO UME-SEX LINI? Ikiwa hiyo haitoshi, akamuuliza HUWA UNATUMIA CONDOM AINA GANI? Pia, akamwamwambia NASIKIA UMEBARIKIWA KAMA PUNDA,,,,,NDIO MAANA WANAWAKE WENGI WANAKUFUATA,,,,,
Nilijiuliza maswali yafuatayo:
1. Inakuwaje Salama aulize maswali hayo bila kutumia tafsida?
2. Kipindi hiki ambacho hurushwa wakati wa prime time, muda ambao familia nyingi huwa (sitting room) nyumbani,
inakuwaje baba, mama na mtoto ambao walisikia kwa pamoja maswali hayo?
3. Lengo la Salama lilikuwa ni nini?
4. Kwanini tunakubali mila na desturi zetu kuziharibu namna hii kwa kuiga uzungu?

Tunakupenda, tunapenda ubunifu wako, tunathamini kipaji chako,,,,lakini tunakuomba ubadilike
 
Hivi watu wazima wanatizama EATV! Nilidhani ni channel ya vijana pekee.
 
Mkuu majibu yalikuwaje sasa? Ni kweli mchizi kabarikiwa kama punda ndo maana anawala?
Haya sio maswali ya kuuliza primetime wahamishie kipindi usiku sana au wawawekee parental guidance nyie watazamaji wao.
 
Last edited by a moderator:
eenh majibu yalikuwaje...faster nipate kichwa cha habari kwenye gazeti langu la udaku
 
Tangu kuanzishwa kwake, nimekuwa mfuasi mzuri wa kipindi cha MKASI kinachorushwa na kituo cha East Africa TV. Jumatatu akiwa anamhoji msanii Diamond, Salama Jabir alimuuliza msanii huyo, KWA MARA YA MWISHO UME-SEX LINI? Ikiwa hiyo haitoshi, akamuuliza HUWA UNATUMIA CONDOM AINA GANI? Pia, akamwamwambia NASIKIA UMEBARIKIWA KAMA PUNDA,,,,,NDIO MAANA WANAWAKE WENGI WANAKUFUATA,,,,,
Nilijiuliza maswali yafuatayo:
1. Inakuwaje Salama aulizwe maswali hayo bila kutumia tafsida?
2. Kipindi hiki ambacho hurushwa wakati wa prime time, muda ambao familia nyingi huwa (sitting room) nyumbani,
inakuwaje baba, mama na mtoto ambao walisikia kwa pamoja maswali hayo?
3. Lengo la Salama lilikuwa ni nini?
4. Kwanini tunakubali mila na desturi zetu kuziharibu namna hii kwa kuiga uzungu?

Tunakupenda, tunapenda ubunifu wako, tunathamini kipaji chako,,,,lakini tunakuomba ubadilike

aaah! we nawe! Ukasikiliza maswali yote hayo matatu at that prime time wala hukuhama channel? hebu tupishe huko! Sasa mtawafundishaje watoto wenu kuhusu maswala ya condom msipoziita condom! Kha! Halafu mnadai mashule watoto wafundishwe kujifahamu! Kuna vipindi kwa watu maalumu! Wee unapaswa kuwafundisha wanao kujua wapi pa kuangalia
 
bongoo ...........a by
mpigamsuli
 
kwanza nikufahamishe kuwa, kuna kitu kinaitwa watershed ambacho nadhani hapa kwetu hakizingatiwi labda kwasababu za uzembe au kutokujali kwa watendaji wa vituo husika vya television.Lakini hapohapo kwenye watershed,kila inchi ina muda ambao vipindi ambavyo vina "adult content" vinaruhusiwa kurushwa hewani ikieleweka bayana kwamba watoto hawato ruhusiwa kuangalia television katika kipindi hicho. Tafsiri fupi ya watershed ni hiyo hapo chini!

In television, the term watershed (alternatively referred to as safe harbor in the United States, and as adult time in Venezuela) denotes the time period in a television schedule during which programs with adult content can air.
Much as how a watershed in British and Australian usage refers to "the ridge or crest line dividing two drainage areas", a television watershed also serves as a dividing line – it divides the time between where content for families and/or children has to be aired, and where content aimed towards an adult audience can be aired (there is no obligation to). Examples of adult content include, but are not limited to, graphic violence, horror, strong language, nudity, sexual intercourse or reference, drug use, and/or sexually suggestive themes. In most countries, the same set of rules also apply to commercial advertisements (whether it be the way the commercial was produced or an advertisement for an adult product, such as condoms).
Due to cultural differences around the world, watershed times can vary (for instance, in New Zealand, the watershed time is at 20:30, and in Italy, the watershed time is at 22:30). Some countries also have multiple watershed layers, where less inappropriate content than others may be allowed at an earlier time but may still be restricted. In addition, some countries may be more lenient towards subscription or pay-per-view channels than towards free-to-air channels.
 
Back
Top Bottom