Salama Jabir punguza usela

Nitamchukia Salama iwapo atabadiliki kutoka hivi alivyo....

Yani ule muonekano wake ndo BRAND yakeee!!! Damnn...Hile ndo Swaga yake...Bila vile hakuna Salama...

Big up Salama
 
salama jabir ana nyota ya kupendwa yani alinifurahisha alivyomhoji mchungaji LUSEKELO
 
MLETA MADA HAJAKOSEA unajua tukienda nyuma tukirudi hii ni page ya mastaa au hapa wa kumkosoa ni wema tu na diomond...............tukija kwa salama...ivi hata akija kuzaa yule watoto wataiga huo uanamkedume? mi siku moja nimekutana nae mlimani city mwenyewe anashuka kwenye gari na mkaka sijui ndo shemeji yetu......lakini alivyovaa huo mlegezo na anavyotembea ni zile za whatsaaaap meeeeen????jamani binti wa kiislam unabehave like that is it fair?
 
Kwamba ni lesbian!

Kwa wewe mtu kuwa lesbian ndo hukumu, mi sina noma nao hao watu, mtu akitaka kula chumvi ale, si ulimi wake mwenyewe,hainisumbui. Alafu ukae ukijua lesbos wote ukiwaona by eyes tu unajua.
 
"kuish kwingi kuona......."!! ngoja nijionee njemba atayepeleka posa kwao
 
MLETA MADA HAJAKOSEA unajua tukienda nyuma tukirudi hii ni page ya mastaa au hapa wa kumkosoa ni wema tu na diomond...............tukija kwa salama...ivi hata akija kuzaa yule watoto wataiga huo uanamkedume? mi siku moja nimekutana nae mlimani city mwenyewe anashuka kwenye gari na mkaka sijui ndo shemeji yetu......lakini alivyovaa huo mlegezo na anavyotembea ni zile za whatsaaaap meeeeen????jamani binti wa kiislam unabehave like that is it fair?

point.. wengine wako kiushabiki tu
 
ggg.jpg
 
Back
Top Bottom