Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Hahahaah wajua yakhe mabinti waweza kuwa wajifanya wao kwa wao kizungu waita kusagana!
Hehehehe! BHT UFAFANUZI PLEASE! Am counting 7....6....5....
Hahahaah wajua yakhe mabinti waweza kuwa wajifanya wao kwa wao kizungu waita kusagana!
Hahahaha ngoja nimwambie mama Mbuya aandae aipitie Geoff sebuleni pale.
Sijui nikugongee senksi kwa hapa au?
omshaaa ruwako mangi!!!ambuya necha ulachekumba numba!! inyi ngiletsisangiria okia januari...ngifula ngekuuria maa kitoochiCha lanye ngamsuko, x-mas yamshika ngiore ma kiparu nyi
HAhahahaha mzee usisahau Kisusio pale Zero pub
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
vip jile mbona mshangao sana haaahahahaha
Asante sana musee msisahau kupitia katika kibanda changu siku hizi natengeneza mtura wa ajabu ati eee nina utaalam mpya..wa kusindika nyama
Chrispin, a little suggestion for you bro, how about, during this pilgrimage to "The Mountain of God" ubadilishe kidooogo signature yako? Unajua mbege ikishatiwa mswewe haikai muda. So just for a few days, save precious Kili waters and drink mbege!
Kirisipiyani,
Hivi huyu ni wewe au?
Kirisipiyani,
Hivi huyu ni wewe au?
FL,
Nakubali Mtori wako maana siku ulitengeneza hadi jamaa akaweka kumbukumbu. Jamaa mwenyewe Mhaya alikuwa akisifia wiki nzima.
Kirisipiyani,
Hivi huyu ni wewe au?
hahahah anaitwa Iribini sema tena Iribini
FL1 nimekugongea senksi! Umelitamka inavotakiwa kabsaaaaa!