Salam za Wachagga- Xmas

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nawatakia wachagga wote maandalisi mema ya x-mas tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu sangu za x-mas natuma kwa, Maruwa, Nkya, kiwia, Mawalla, Masawe, Mangi, Mushi, Mamuya, Mosha,Muro, Marialle, Manka, Keku, Shirima, lyimo, Ngowi,Lyatuu,Temba,Munuo, Mtei, Mmary,Kirumbuyo, Mkonyi, Tarimo,Malisa, Matemba, Munisi, Mbonika,Maleko,Mselle, Msale, Shayo, Nyange, Munishi, Lema, Lauwo, Kessy, Mtuy, Kisomo, Moshy, Kisoka, Kessy, Mkonyi,Sillayo,Male,Mlay,Lauwo,Tairo,Mrosso,Shoo,Maeda,Swai,MaKauki,Shayo,Kimaro,Soka,Mkenda,Makundi,Mangesho,Tilya,Kinabo, Mtei, Ulomi,Njau, Sirili, Matteru, Minja, Kiwali, Maro, Ndossy, Kway,Meela, Mallya,Ndanshau, Shio, Assenga,Moshi na Macha na watani zetu waparis.

Ujumbe wetu ni ....tudumishe mila se.. mila setu..........na safari hii ndugu sangu tafasalini hakuna ki kisingsio eti, vijana wa Majembe wanafanya kasi sio msesho, nauli sitakuwa kama bure kabisa, hapo mpo jamani.....??? eka nka mwali, eka mbeee

6964d1259925437-salam-za-wachagga-xmas-chaggaz.jpg

I know Mpwa, Lakin vifaa vya Kirua vunjo pale au Machame! Aiseee babangu,Mungu alifanya kazi.

Mhhhh shida yao wale wa pale kirua vunjo hata Machame hawana usafiri! wengi wao ni kama kontena kubebwa na chelea ama spoku!
 
tumewachoka............................
Nawatakia wachagga wote maandalisi mema ya x-mas tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu sangu za x-mas natuma kwa, Maruwa, Nkya, kiwia, Mawalla, Masawe, Mangi, Mushi, Mamuya, Mosha,Muro, Marialle, Manka, Keku, Shirima, lyimo, Ngowi,Lyatuu,Temba,Munuo, Mtei, Mmary,Kirumbuyo, Mkonyi, Tarimo, Munisi, Mbonika,Maleko,Mselle, Msale, Shayo, Nyange, Munishi, Lema, Lauwo, Kessy, Mtuy, Kisomo, Moshy, Mkonyi, Sillayo,Male,Mlay,Lauwo,Tairo,Mrosso,Shoo,Maeda,Swai,Mauki,Shayo,Kimaro,Soka,Mkenda,Makundi,Mangesho,Tilya,Kinabo, Mtei, Ulomi,Njau, Sirili, Matteru, Minja, Kiwali, Maro, Ndossy, Kway,Meela, Mallya,Ndanshau, Shio, Assenga,Moshi na Macha na watani zetu waparis.

Ujumbe wetu ni ....tudumishe mila se.. mila setu..........na safari hii ndugu sangu tafasalini hakuna ki kisingsio eti, vijana wa Majembe wanafanya kasi sio msesho, nauli sitakuwa kama bure kabisa, hapo mpo jamani.....??? eka nka mwali, eka mbeee

6964d1259925437-salam-za-wachagga-xmas-chaggaz.jpg
 
Mhhhh shida yao wale wa pale kirua vunjo hata Machame hawana usafiri! wengi wao ni kama kontena kubebwa na chelea ama spoku!
Swadakta,ndiyo sifa za Miss Kisura TZ au miss world.Au wewe unapenda Za kichinachina za kuongeza makalio.
Halafu usijali, sifa yetu moshi sio tu kuwa na warembo wenye sifa za kuwa wake wema bali Tuna mlima wetu mzuuuuuri sana,Aiseee Moshi bana,lazima tukawaone krismasi hii kina swai na massawe pale Kyarie.
 
Swadakta,ndiyo sifa za Miss Kisura TZ au miss world.Au wewe unapenda Za kichinachina za kuongeza makalio.
Halafu usijali, sifa yetu moshi sio warembo wenye sifa za kuwa wake wema.Tuna mlima wetu mzuuuuuri sana,Aiseee Moshi bana,lazima tukawaone krismasi hii kina swai na massawe pale Kyarie.

Hapo umeharibu, wazuri kumega kumega na si kuowa!
 
Hapana mpwa ,uzuri nao ukizidi unakosea na ulimi umeteleza,namaanisha wana sifa zote.Halafu kasi ya kuokoka Moshi imezidi,wengi wanamrudia Bwana,hivo hawadanganyiki!

Bwana yupi? maana hilo ni suala lingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom