Salaam

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
eid-ul-adha-03.gif




Assalamu alaykum

Nakutakieni Eid Mubarak wana ukumbi wote, Allah akupeni kheri pamoja na aaili zenu, na akutilieni barka na furaha katika majumba yenu...

Vile vile Namuomba Allah Ajaalie ukumbi huu uwe ni ukumbi wenye kuleta Ilmu na udugu na mapenzi baina yetu, Na atuepushe na kila fitna na shari.




Sina Zawadi ya waridi
Wala Uvumba wala Udi

Illa kumuomba maududi
Awape yenye kuwahidi




Kullu Aam wa-antum Bikhayr



Maa salaam


X-Paster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom