SALAAM kutoka jikoni

Kazi kweli kweli! Any way kila la heri huko uendako SALMA 2015
 
Wanajidanganya. Watatoka tu. Iwe kwa kura, au kwa kuandamana, iwe kwa amani au kwa fujo.Na raia walivopigika, hao watoto wa vigogo wajiandae kuikimbia nchi.
 
Kwa taarifa yako Tanzania iliumbwa na Mungu na kuwapa Watanzania nchi nzuri. Kwa hiyo natamka leo tarehe 12 Oktoba 2011 yeyote anayedhani hawataondoka madarakani anaota mchana kweupe. KWA JINA KUU LA BWANA YESU WATAONDOKA MADARAKANI TU hata watafute msaada wa majini yote kuzimu watashindwa tu. Nawasilisha

Hii ni dalili tosha kuwa huna mbinu mbadala dhili ya CCM na hivyo umeshindwa na umefikia uwezo wako wa mwisho kabisa, pole sana maana unategemea husicho kijuwa na husicho kielewa na hivyo basi utaendelea kutawaliwa na CCM hadi siku Yesu atakapo rudi maana wewe unasubiri Yesu ndio aje akusaidie kuiondoa CCM madarakani!

Watu kama wewe ndio mtaji wa CCM miaka nenda mwaka rudi.
 
Nahisi kama imeandikwa na Nape mwenyewe hii maneno. Inasikitisha kisha inaogopesha pia.
 
Umefanya vizuri, usije ukawachongea wenzako; lakini je ungewataja kwa majina napo wangesema ni wale waliokutwa na simu ndio walioyataja? Napatwa na wasiwasi kidogo kuhusu ukweli wa taarifa hii
Bigi saus thank you for this useful post.

Ili thread iaminike lazima iwe na kitu cha pekee kidogo.............hakipo,

Isipokuwa najua jikoni kuna mafuta mazito yaliyochanganywa na petrol kwa sasa!!
 
Ndugu Watanzania, wana JF.. na wapenzi wazalendo woote wa nchi yangu.. sitakuwepo jamvini kwa kitambo kidogo, ila napenda threads yangu Isomeke.. CCM haiko tayari kuona nchi inachukuliwa na Upinzani kwa vyovyote Vile, hilo mlielewe. Katika Vikao Vyote vya ndani, CCM imejizatiti kuhakikisha Liwalo na Liwe lakini haitawezekana wala haipo akilini kwao kwamba kitakuwa chama cha upinzani.

Sisi tuliomo humu tumetumiwa sana kuwaneemesha "wazee", na wanasema waziwazi CCM haijaanza kuua watu Jana. Hivyo hakuna cha kushangaa.. watu watauawa kwa maslahi ya Nchi.

Katikati ya wiki lililopita Kulikuwa na Kikao kikubwa cha Viongozi waandamizi na wale wakongwe waliokuwa hazina ya CCM. Kikao Hicho mahsusi kilihusika na kujadili hasa matamshi ya viongozi wastaafu kushiriki kutoa matamko makali kwa serikali hivyo kukidhoofisha chama. Baadhi ya wazee wa "siku" kwenye kikao Hicho wakadai kwamba kama CCM ikiondolewa basi na wao maisha yao yatakuwa magumu kwa sababu watoto wao na wajukuu zao wameshamiliki maeneo muhimu ya Majiji na Miji na ndio warithi wa Tanzania kisiasa na kiuchumi.

Kikao Hicho kikapendekeza kwamba kwa kuwa kuna wazee bado wana heshimika kwenye jamii ya watanzania basi wajitokeze kwenye vyombo vya habari na kutoa matamshi makali juu ya vyama vya Upinzani vyenye upinzani makini hasa Chadema kwa upande wa bara na Cuf kwa upande wa visiwani, na moja kwa moja chama kitasponsor kadhia hiyo..

Kikao Hicho ambacho wajumbe hawakuruhusiwa kabisa kuingia na kitu chochote kama notebook, laptop au mobile.. wengine tulipenyapenya na Iphone na kubahatika kurekodi sehemu ya mazungumzo.. na ilikuwa nia yangu kumwaga mchuzi mezani kwa kuweka Audio strings JF ya sehemu ya mazungumzo hayo, ili kila kitu kiwe open.

Bahati mbaya wakati wa kutoka kukawa na sachsach na wajumbe wanne wakakutwa waliingia na cm. baada ya kuhojiwa na vijana wa Usalama.. walirejeshewa cm zao. Hvyo nikiweka strings ya Audio ntawachongea wale jamaa. Huku ndani, wana CCM wengi hawakipendi Chama, wengi wamo tu kwa sababu wanaogopa wakitoka watauawa.. wanasena No way you can Go out of CCM safely .. kama Kuna gereza la Kutisha.. CCM ni zaidi ya gereza..

Hata Huyo Nape.. CCM haipendi kabisa ila amewekwa kama spika ya wazee. na hela wanampa kweli kweli ndo maana ni kama kachanganyikiwa vile.. muda mwingi anautumia kwa kulewa chakari.. nadhani anapoteza mawazo.. kama kuna mtu wa kumwokoa ni Nape.. hana raha kabisaa.. hata ukikutana naye mwangalie usoni..

Ana huzuni sana huyo mkaka.. ni kama anajuta that time lipopata nafasi ya kujiondoa CCM kwa nini hakujiondoa.. sasa hawezi tena, anatumwa kama mtoto, anafanya kila anachoambia afanye.. inamuuma sana..

Mungu Ibariki Tanzania

kila la kheli Mtanzagiza..
 
wamelaaniwa wale wote wanaodhani hawatang'ka,najua wanjiandaa kuacha watoto na vijukuu na malaya wao.lakini naamini Mungu atalisimamia hili na kwa kuwa vita haianzii TZ na si kwa watu wa leo enzi na enzi walipigana,hivyo naamini hata wajipange vipi kutuua lakini tutashinda
 
Tukianzia SA kwa makaburu enzi zile, waliua sana lakini hawakuwamaliza watu, Moi na KANU yake waliua sana mpaka mawaziri kama Ouko nk. Leo iko wapi-opposition mpaka kwa Ocampo! Ukiona wamefikia stage hiyo ujue nguvu ya umma iko mlangoni mwao na shoka liko kwenye shina! I like Peoples Power.

Mwalimu wake Sarafina Ms Masumbuka (Whoop Goldenberg) alisema; "PEOPLE CAN DEFEAT THE ARMY" -freedom is coming tomorrow.
 
wewe salma ni mnafiki, mzandiki na kafiri usie na dini nyamafu kabisa, ingekuwa umezaliwa nje ya ndoa basi wewe ni mwanaharamu kabisa, mzandiki mkubwa wewe, utawapata wana jf mazoba kama wewe, wewe hufai kabisa, hii habari ni upuuzi tu wala haina ukweli, mnapima tu upepo kwa kuwa mnajua ni nini hasa mmepanga mnafiki wewe. Dr mwakyembe mnafki mwenzio kama walivyo ole sendeka na mama malecela ametiwa adabu kwa kuficha ushahidi wa madudu kama ambayo wewe umeficha saa hii.

Kama una actual audio kwa nini hukuweka humu, na kama wana usalama wenu waliwanasa hao wambea wenzio na kuwakagua kwa nini sasa wewe uliyeponea chupuchupu usiwe mzalendo kuanika madudu, muongo na muuaji kabisa wewe huna uzalendo kabisa, wewe hata baba yako akitembea uchi kwa sana ni mzazi wako utamwambia kapendeza sana juha wewe. Next tym acha kuleta ujinga sampuli hii, huna maana kabisa.

Hapa tunaumiza vichwa tuokoe nchi yetu halafu wewe unadai eti utawachongea wale waloshikwa, sasa where is your point hapa ebo! Na nawashangaa hao walokupa big up it seems wote hawakufikiri wala kukusoma vizuri.

Tunajua yote kwa taarifa yako, endelea na utaona jibu lake muda si mrefu, mnafki wewe!!!
toka hapa nyani wee.!kama huna cha kuchangia kaa kimya,idiot we!!
 
avatar53929_2.gif

Hiyo ID yako mbona kama unampigia debe mtu fulani?

SalmaJK(14).jpg
 
hii ni taarifa ya uongo, kwa kuiweka hapa tu ni wazi hao wenye simu wanajulikana na umewachongea tayari,
huna mpya wewe ni moja ya kondoo wa nchi hii
 
Wewe Salma ni mnafiki, mzandiki na kafiri usie na dini nyamafu kabisa, ingekuwa umezaliwa nje ya ndoa basi wewe ni mwanaharamu kabisa, mzandiki mkubwa wewe, utawapata wana JF mazoba kama wewe, wewe hufai kabisa, hii habari ni upuuzi tu wala haina ukweli, mnapima tu upepo kwa kuwa mnajua ni nini hasa mmepanga mnafiki wewe. Dr Mwakyembe mnafki mwenzio kama walivyo Ole Sendeka na mama Malecela ametiwa adabu kwa kuficha ushahidi wa madudu kama ambayo wewe umeficha saa hii.

Kama una actual audio kwa nini hukuweka humu, na kama wana usalama wenu waliwanasa hao wambea wenzio na kuwakagua kwa nini sasa wewe uliyeponea chupuchupu usiwe mzalendo kuanika madudu, muongo na muuaji kabisa wewe huna uzalendo kabisa, wewe hata baba yako akitembea uchi kwa sana ni mzazi wako utamwambia kapendeza sana juha wewe. Next tym acha kuleta ujinga sampuli hii, huna maana kabisa.

Hapa tunaumiza vichwa tuokoe nchi yetu halafu wewe unadai eti utawachongea wale waloshikwa, sasa where is your point hapa ebo! Na nawashangaa hao walokupa big up it seems wote hawakufikiri wala kukusoma vizuri.

Tunajua yote kwa taarifa yako, endelea na utaona jibu lake muda si mrefu, mnafki wewe!!!
Taratibu. Usijepigwa ban ya bure.
 
Habari ya kutunga ni tamu sana kuisoma lakini ni ngumu sana kuielewa!
 
Ndugu Watanzania, wana JF.. na wapenzi wazalendo woote wa nchi yangu.. sitakuwepo jamvini kwa kitambo kidogo, ila napenda threads yangu Isomeke.. CCM haiko tayari kuona nchi inachukuliwa na Upinzani kwa vyovyote Vile, hilo mlielewe. Katika Vikao Vyote vya ndani, CCM imejizatiti kuhakikisha Liwalo na Liwe lakini haitawezekana wala haipo akilini kwao kwamba kitakuwa chama cha upinzani.

Sisi tuliomo humu tumetumiwa sana kuwaneemesha "wazee", na wanasema waziwazi CCM haijaanza kuua watu Jana. Hivyo hakuna cha kushangaa.. watu watauawa kwa maslahi ya Nchi.

Katikati ya wiki lililopita Kulikuwa na Kikao kikubwa cha Viongozi waandamizi na wale wakongwe waliokuwa hazina ya CCM. Kikao Hicho mahsusi kilihusika na kujadili hasa matamshi ya viongozi wastaafu kushiriki kutoa matamko makali kwa serikali hivyo kukidhoofisha chama. Baadhi ya wazee wa "siku" kwenye kikao Hicho wakadai kwamba kama CCM ikiondolewa basi na wao maisha yao yatakuwa magumu kwa sababu watoto wao na wajukuu zao wameshamiliki maeneo muhimu ya Majiji na Miji na ndio warithi wa Tanzania kisiasa na kiuchumi.

Kikao Hicho kikapendekeza kwamba kwa kuwa kuna wazee bado wana heshimika kwenye jamii ya watanzania basi wajitokeze kwenye vyombo vya habari na kutoa matamshi makali juu ya vyama vya Upinzani vyenye upinzani makini hasa Chadema kwa upande wa bara na Cuf kwa upande wa visiwani, na moja kwa moja chama kitasponsor kadhia hiyo..

Kikao Hicho ambacho wajumbe hawakuruhusiwa kabisa kuingia na kitu chochote kama notebook, laptop au mobile.. wengine tulipenyapenya na Iphone na kubahatika kurekodi sehemu ya mazungumzo.. na ilikuwa nia yangu kumwaga mchuzi mezani kwa kuweka Audio strings JF ya sehemu ya mazungumzo hayo, ili kila kitu kiwe open.

Bahati mbaya wakati wa kutoka kukawa na sachsach na wajumbe wanne wakakutwa waliingia na cm. baada ya kuhojiwa na vijana wa Usalama.. walirejeshewa cm zao. Hvyo nikiweka strings ya Audio ntawachongea wale jamaa. Huku ndani, wana CCM wengi hawakipendi Chama, wengi wamo tu kwa sababu wanaogopa wakitoka watauawa.. wanasena No way you can Go out of CCM safely .. kama Kuna gereza la Kutisha.. CCM ni zaidi ya gereza..

Hata Huyo Nape.. CCM haipendi kabisa ila amewekwa kama spika ya wazee. na hela wanampa kweli kweli ndo maana ni kama kachanganyikiwa vile.. muda mwingi anautumia kwa kulewa chakari.. nadhani anapoteza mawazo.. kama kuna mtu wa kumwokoa ni Nape.. hana raha kabisaa.. hata ukikutana naye mwangalie usoni..

Ana huzuni sana huyo mkaka.. ni kama anajuta that time lipopata nafasi ya kujiondoa CCM kwa nini hakujiondoa.. sasa hawezi tena, anatumwa kama mtoto, anafanya kila anachoambia afanye.. inamuuma sana..

Mungu Ibariki Tanzania

Kwenye red: umekosea kidogo ni kwamba anatumbwa kama a German shepherd!!
 
Si kwamba tu ni hatari kuondoka ccm bali pia ni hatari kupingana na wakuu wa ccm hasa wenye chama chao, yu wapi Kolimba? Mwandyosa vp hali yake? Harrison nae nini kinampata? hivi Salome Mbat... alikufa kifo cha aina gani? heeeh yule Daud wa BOT yu wapi? ccm haijaanza kuua watu leo kweli. Let's keep our eyes still.
 
Back
Top Bottom