Salaaam Kwa Mtani (SIMBA SC) pisha njia na baiskeli yako

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Mtani pisha njia , mashine ya uhakika inakuja kwa kasi ha ha ha ha
 

Attachments

  • yanga inakuja.jpg
    yanga inakuja.jpg
    35.1 KB · Views: 36

Achana nae huyo...yuko optimistic lakini hawezi kutuova-take......injini yenyewe old model mwendo wa processor za Z1 Computers

Mkuu, Simba ina processor? ha ha ha ha akina Boban, Kaseja? ha ha ha ha kazi kweli kweli sasa subiri ngo ngo ikavuruge ka baiskeli kenu.
 
Back
Top Bottom