Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
Jamani mimi ni muislam ila elimu yangu ni ndogo. Naomba kufahamu, hv waislamu hatuwezi kuomba tuondokane na janga hili la umeme? Mana nakumbuka miaka fulani hv mvua ilipo sumbua na ukame kushamiri, mashekh waliomba mvua na ikanyesha. Je hv haifai kuombea mtera maji yajae?