Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.

Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
31,575
65,442
Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.

Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.

Hafla hiyo imezua minong'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.

Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)

Maneno pembeni, hapa kuna picha za Zari kabla akiwa na shape tuliyoizoea na shape 'TATA'.

1454991313332.jpg

1454991336594.jpg
 
ahahahahah...
unajitahidi madame..!
ngoja team MAPELA watakuja muda si mrefu kuchangia thread yako..!
nadhani hawatakuangusha..!
 
kuna mambo humu!!
Ngoja niwachiee watoto wa pwani, mie mshamba ngoja nikauze duka langu...
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Dunia ina mambo sana. Kwahiyo na yeye Timu kigodoro duuuh. Hapo kwenye kupiga picha zake halisi hahaha
 
Huyo Zari anawauma sana, kama nyie wanawake wa ukweee mlishindwa nini kumdaka Daimond,
mwacheni mtoto wa mwanamke mwenzetu, awe mzee haya, awe na makalio bandia haya,
mbona nyie mko artificial kila mahali lakini hakuna anayefuatilia.
 
Oh,nilitaka kusahau yale maombi maalum mliyonipa ya kuwaita
Madame B BADILI TABIA 'Valentina' The Name
Kama kuna niliyemsahau anisamehe,awasilishe maombi upya.
Mie napita ujue...

Kuna viumbe wanamuona zari mreeeeeeemboooooo................. genious............. yupo juuuuuu....

Sijui washamuona live?????

Nasema tena Napita mie.... Nifah usiniwekee maneno mdomoni hihihiiiii
 
Hizi team cjui ugoro mara vigodoro hawana zuri kwao.....huyo zari kwa shape n neema za allah kajaliwa ......huyo bibi wa sinza mori yeye aendelee kuchambia dawa za kichina mana hips n tako lake hayana uwiano.......tuache ushabiki madam amezidiwa kila ki2 n zari
 
Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.

Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.

Hafla hiyo imezua ming'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.

Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)

Maneno pembeni,hapa kuna picha za Zari kabla akiwa na shape tuliyoizoea na shape 'TATA'

Wewe mwanamke unapenda kweli habari za kimbeambea sijui kwanini. Au mwenzetu labda ni muajiriwa wa Global Publishers kwa Shigongo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom