SAKATA la UWANJA wa NYAMAGANA: Ubomoaji Wake na Migongano ya Taasisi Husika

haya ni maoni ya mwananchi mmoja katika gazeti la Tanzania Daima

"MWANZA IMEKUWA JIJI. SEHEMU KUBWA YA JIJI LA MWANZA NI VILIMA. KWA HIYO NI KAZI NGUMU KUJENGA VIWANJA VYA MICHEZO.
KWA HIYO WANAOTAKA KUBOMOA UWANJA WA NYAMAGANA HAWANA UPEO. MSEKELA HAFAI KUWA MKUU WA MKOA WENYE HADHI KAMA MWANZA. PENGINE HAJATOKA NJE YA TANZANIA KUONA MIJI INAVYOPAMBWA NA SEHEMU WAZI KAMA VIWANJA, BUSTANI N.K
HUYU AFADHALI ATOLEWE HARAKA KWANI HAONI MBALI.
TAYARI ILIPO NYAMAGANA KUNA NYUMBA ZA KUTOSHA. KWA NINI KUSIJENGWE MAHALI PENGINE KUSUDI JIJI LIZIDI KUPANUKA.
LICHA YA KUELEWESHWA KUWA UWANJA HUU UNA KUMBUKUMBU NYINGI (MIKUTANO YA KUDAI UHURU, KUWEKWA WENZETU MHANGA WA MELI YA MV BUKOBA N.K) MWANZA INAHITAJI VIWANJA VINGI. KAMA KUNA MECHI INACHEZWA KIRUMBA MECHI NYINGINE INAWEZA KUCHEZWA NYAMAGANA.
MSEKELA, BADALA YA KUUBOMOA UWANJA ANGEPENDEKEZA KUUKARABATI UWANJA HUO. "

na Boban Vladimir - 27.04.08 @ 10:47 | #8970
 
City walishasitisha kibali cha ujenzi wa hotel kuruhusu majadiliano zaidi ikiwemo upembuvu yakinifu mpya, ukweli Mwanza wanahitaji viwanja vya michezo na pia uwekezaji unahitajika. Hivyo uamuzi itakuwa either mwekezaji apewe eneo jingine uwanja ubaki au uwanja ujengwe sehemu nyingine na hapo Kiwepo kitega uchumi hicho.

Eneo pekee lililokuwa na Indoor games ilikuwa mwanza institute lakini pamekufa kabisa, umebaki uwanja wa long tenis tena hauna matunzo.
 
Katika dunia hii, karibu viwanja vizuri vyote vya michezo viko katikati ya mji, Nenda Madrid, German, Houston TX, California (LA), Detroit, chicago, Nashville Tennesee, Florida, Mexico City, Brazil (Rio), Argentina (Buenos). Kwa bahati nzuri nilishafika sehemu zote hizo, na Mahotel mengi yamejengwa karibu na Bahari kwa ajili ya mandhali ya maji ya bahari. Kwa nini Huyu mhindi wa Mwanza anang'ang'ani kujenga hotel hapo katikati na kwa nini asijenge karibu na ziwa ambako kuna nafasi kubwa sana. Halmashauri ya Mji wa Mwanza wangeweza kuujenga vizuri huo uwanja wangepata pesa nyingi sana kuliko hizo $20million. Kwa mechi 50 kwa mauzo ya $400,000 kwa kila mechi zingehitajika mechi 50 tu. kupata hizo $20million. Pia kuna mapato toka kwenye mabanda yatakayozunguka huo uwanja. ( Sijui kwa nini kila leo viongozi wetu wanatembea nchi mbalimbali lakini hawataki kujifunza). Ni kweli most African Leader unakuta anauza Dhahabu kwa kupewa Maembe.
 
City walishasitisha kibali cha ujenzi wa hotel kuruhusu majadiliano zaidi ikiwemo upembuvu yakinifu mpya, ukweli Mwanza wanahitaji viwanja vya michezo na pia uwekezaji unahitajika. Hivyo uamuzi itakuwa either mwekezaji apewe eneo jingine uwanja ubaki au uwanja ujengwe sehemu nyingine na hapo Kiwepo kitega uchumi hicho.

Eneo pekee lililokuwa na Indoor games ilikuwa mwanza institute lakini pamekufa kabisa, umebaki uwanja wa long tenis tena hauna matunzo.

eddy, akhsante kwa update. vipi harakati zako za kuhakikisha kuwa uwanja unachukuliwa na mwekezaji zimeishia wapi, au umebadili mwelekeo hivi sasa?
 
Kwanza Mwanza hakuna ushamba wa kuitana wahindi wapemba wachagga wakurya. sote ni wanamwanza, kama texas mnaitana mexican na nigers ujinga huo msituletee.

Tatizo la nyamagana ni nani aweke pesa pale na wote waenjoy yaani public na investor (pareto optimality), tff wanasema watajenga kwa hadhi ya olympiq sawa good idea!

Nibusara kuvuta subira na kupata maoni ya wadau wengi zaidi na ndicho kinafanyika. Normally kila plan huwa inaplan B au C. huu uwanja sio nyanya hauozi hivyo hakuna haraka.

Kusema hotel hukaa ufukweni! uwanja huu uko mita 50 toka ziwani! sijaelewa ufukwe kwa maana gani hasa! Mwanza nitofauti kidogo katikati ya mji ni maofisi na maduka tu, wananchi wanaishi igoma 40km toka city centre.

Unaposema tuweke uwanja mnazi mmoja halafu watu watoke kibaha kuja kuangalia mpira kwanini uwanja usijengwe kibaha au mbezi? Kuna watu walipinga stend ya mabasi kuwa Ubungo walitaka iendelee kuwa kisutu. nimuhimu kupata mawazo mbalimbali.

huyo wa us anaetaka kuwekeza us$20m ili avune us$ 400,000 kwa mechi - huo niwendawazimu.
 
sasa eddy, kwanini hizo plan B na C hazikuainishwa mapema?.. maana ni mpaka pale tff ilivyoweka kigingi na kuhamasisha wananchi na wapenda michezo wote kuwa wasiposimama dede uwanja utachukuliwa, ndipo ishara ya kunywea na "kuvuta subira" ikatokea kutoka kwa mwekezaji na wapambe wake?!

Naamini bila kutokea pingamizi hizi na wananchi kuonesha bayana kuwa hawaridhishwi na plan za hotel kwenye kiwanja cha kihistoria kinachoweza ku-serve generations, wawekezaji wala hawakufikiria kabisa maslahi ya jamii zinazozunguka maeneo hayo. Na waliojaribu kuwapigia kampeni kuwa hoteli ijengwe, nia na madhumuni yao si mengine - bali ni hiyo 10% tu... wala hawafikirii wajukuu zao wataenda wapi kucheza kabumbu au kuona mechi.

Hapa eddy utakubaliana nami kuwa kuna jambo lilitaka liharakishwe kwa maslahi ya wachache. Kuna vihunzi katika consultations vilikiukwa kwa kukimbilia 10%.
 
Mtu wa kwanza kupinga ni diwani wa nyamagana kama kulikuwa na 10% angevuta wa kwanza, hili sidhani kama linaweza kuwa ni hub. Hebu tuondoe dhana kuwa kila mtu ni mla rushwa na kuwa huwezi fanikiwa bila kutoa rushwa.

TFF walisema wanaweza kutoa mtaji wa kuwekeza kitu ambacho kilikuwa kinatafutwa, wala sio mikwara yao, huu uwanja sio mali ya TFF, wanakaribishwa sawa na mwekezaji Mwingine, ila mission town hatutaki waje na mtaji yaani fedha.

Uwanja wa nyamagana nisawa na uwanja wa karume dar, eneo la kihistoria mwanza ni viwanja vya Gandhi hall, hapo ndipo mjerumani alikuwa ananyongea watemi wetu kuna mengi tu ila sio main topic.

Uwanja huu ulijengwa na Mgodi wa Mwadui kwa ajili ya mashindano ya jimbo la nyanza victoria, hii ni ishara tu ya unyonyaji wa the DeBeers.

Lamsingi ni eneo hili litasaidiaje kukuza uchumi wa Mwanza na liendelee kuwa hazina ya vizazi vijavyo. PPF na NSSF wamewekeza tunakaribisha nawengine, sawa?
 
Back
Top Bottom