Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

Hawezi JPM kwenda zaidi ya hapa. Ameshamlinda sana! Nche,ba alikuwa na kosa gani la zaidi zaidi? Huyu ni Mwizi alitaka kuiibia serikali... ameachwa! Mtumishi wa umma mdanganyifu namna hii! Anaachwa!
Ila huyu jamaa hawezi kupigwa chini.

Zile kontena zinataliwa bei tuu. Na mchezo unaishia hapo.

Kuna kimchezo kinachezwa hapa. Tusigetemee ile barua yenye misamiati kama;

Ametengua.
Nafasi yake itachukuliwa

Hakuna la zaidi hapa.
 
hili jamaa hapa chini limeshikwa na hofu mda huu
View attachment 851672
Hilo jamaa jinga sana tu kama ilivyo mifisiem iliyomingi. Jiwe asingetoa hiyo kauli, lingeendelea tu kubusu makalio ya Bashite. Yakiitwa manyumbu yanabisha! Kwahiyio halikuwa linafahamu sheria mpaka rais aseme. Na asiposema lenyewe halifahamu, bali linajitoa ufahamu zaidi na kuongea ujinga. Yako mengi tu humu JF. Kwasasa yako confused, kwa muda wa masaa haya, hayafahamu cha kuandika. Hayajui yafuate bwana yupi bado. Majinga sana.
 
Ila huyu jamaa hawezi kupigwa chini.

Zile kontena zinataliwa bei tuu. Na mchezo unaishia hapo.

Kuna kimchezo kinachezwa hapa. Tusigetemee ile barua yenye misamiati kama;

Ametengua.
Nafasi yake itachukuliwa

Hakuna la zaidi hapa.
Exactly!
 
Yeye Makonda alisema ni ya shule Mkuu amesema mengine sio ya shule..mimi kama mzalendo wa nchi hii nilikuwa naamini ni madawati na vifaa vya walimu sasa raisi kaweka wazi.
Musiba pia alikuwa sahihi.
Tulikuambia hapa mzigo unaenda kuuzwa GSM ukatokwa mapovu ya kijani kutetea mashudu.

Haya sasa umeumbuka, msuli umekuponyoka mbele ya wakwe huna pakukimbilia mbele mbali nyuma mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh Kwa hizi Komenti Makonda kweli hapendwi,sijui kwa ni kwa sababu ya kuvimba kwake au ni hulka za binadamu tu? Keagan kaja na Gundu.....Ikifika jumapili tujuzane mana ndo siku za JPM kufanya yake
 
Back
Top Bottom