Sakata la Mahujaji: Utendaji ATCL na Yaliyojiri Hadi Leo Hii

Please do not make me puke!! Si kwa sababu ya imani za watu ila kwa kitendo cha serikali kuwa ndumilakuwili!!!!
Does anyone remember the Ukraine students when they were stranded and were asking for help and the government disowned them??? The act of the government stepping in to lease a plane for stranded pilgrims is contradictory. Why did the government disown Tanzania students stranded in Ukraine and then feels obligated to pilgrims??? These pilgrims made their own arrangements as did the Tanzanian students why not disown them too?? Is it because of the fact that they share the same faith as our leader?? Not wanting to sound atheist which am actually not, but I feel the gains that the Tanzanian students would have gotten from the support would be measurable than those that the pilgrims have gotten that are merely individual and vary depending on the depth of affinity of each pilgrim to their God. Faith is a personal property but education can be owned by a wider population.

Sijasoma maelezo mengi ya waliotangulia I hope sijawatoa katika mtirirko wa mjadala au nimekuwa redundant ila I just read a piece kuhusiana na ndege kukodishwa kwa ajili ya hao mahujaji. The government makes me sick!! I hope the Kenya saga opens up their eyes!
 
Bimkubwa, duh.. yaani ningekusoma an hour ago! lakini umetengeneza pointi ambayo iliniruka.. I hope nitaitumia next.. asante sana.
 
Please do not make me puke!! Si kwa sababu ya imani za watu ila kwa kitendo cha serikali kuwa ndumilakuwili!!!!
Does anyone remember the Ukraine students when they were stranded and were asking for help and the government disowned them??? The act of the government stepping in to lease a plane for stranded pilgrims is contradictory. Why did the government disown Tanzania students stranded in Ukraine and then feels obligated to pilgrims??? These pilgrims made their own arrangements as did the Tanzanian students why not disown them too?? Is it because of the fact that they share the same faith as our leader?? Not wanting to sound atheist which am actually not, but I feel the gains that the Tanzanian students would have gotten from the support would be measurable than those that the pilgrims have gotten that are merely individual and vary depending on the depth of affinity of each pilgrim to their God. Faith is a personal property but education can be owned by a wider population.

Sijasoma maelezo mengi ya waliotangulia I hope sijawatoa katika mtirirko wa mjadala au nimekuwa redundant ila I just read a piece kuhusiana na ndege kukodishwa kwa ajili ya hao mahujaji. The government makes me sick!! I hope the Kenya saga opens up their eyes!

Nadhani kesi ya wanafunzi wa Ukraine ni tofauti kabisa na hii suala la mahujaji. Wale wa Ukraine kwa taarifa tulizopewa sisi wananchi wa kawaida (ambazo wanafunzi hawakukanusha) ni kwamba walitafuta wenyewe masomo huko walipoomba kulipiwa na serikali kabla hawajaenda serikali ikawajibu haina uwezo huo, kwa hiyo wasome hapa nchini watapata mikopo kama wanayopewa wenzao wengine, lakini wao wakachagua kwenda kwa kujilipia wenyewe. Huko katikati ya safari wakakwama, ndio wakarudi tena kuomba msaada wa serikali. Hawa mahujaji ni tofauti, wameshalipa gharama zote za safari yao, HAWAOMBI MSAADA wa mtu, wanachohitaji ni haki yao ya kupewa bidhaa walionunua. Na kwa bahati mbaya (au nzuri), shirika lililolipwa fedha hiyo ni la SERIKALI, hiyo ndiyo justification ya kwanza ya serikali kuingilia suala hilo, ni corporate accountability kwanza. ATCL ndiyo inapaswa iwarudishe nchini maana imelipwa nauli kamili kwa mujibu wa makubaliano, na kama inashindwa, ni wajibu wa mmiliki ambaye ni serikali kuchukua jukumu hilo.
 
i totally agree with you Kithuku.

The government is totally responsible for the pilgrims,because they paid for the service to the government's ATC and thereforth the government should adhere to its commitment to render the services. i heard that among the pilgrims there are some people from other nations is it?
 
Let us not use the word government loosely kama government yenyewe maana ATC to my recollection is a corporation that has the auspices of serving its customers like any other corporation government owned or privately owned. If it is a corporation we should be hearing songs of ATC this and ATC that but not government this and that regardless to say these same pilgrims are crying foul at the same time SOS! If foul was their first and foremost need then we would be hearing songs of compensation, right now its SOS loud and clear.

The reason why I compared it to the UKRAINE students is because they also camped outside 'government' offices for help just as the pilgrims, but who were given what they asked for? The pilgrims just like the students made their own personal choice to request services rendered by these parasitic organs which failed them.

I feel the government is using selective response which makes it dig deeper into an abyss that may soon backfire. All that the government owns are the shares but quality services are the auspices of the corporation, we do not hear of the government refunding phoneline posts/electricity posts, undelivered services that customers have paid for in other government 'shared' corporations, have you?
 
well, on the issue of Ukraine students the government erred, do you want it to err again on the issue of the pilgrims just because it erred at the first hand?.

you cannot take away blames from the government when one of the corporations run by it fail to deliver.it must be understood that the pilgrims constitute many nationals, therefore it is a diplomatic disaster to leave the situation unsolved
 
Gamba your justification for the government action, Iam sorry to say lacks merit. ATCL is a corporation just like any other.. which has its own LEGAL PERSONALITY.. so incase of any problem the ATCL should be responsible! Hapa sema ni politics as usual and as a result incompetent folks like Nyang`anyi and co. wont be held to account kwa sababu waliolipa ultimate price ya ujinga wao ni sisi WALIPA KODI.

Kama JK alijustify kitendo cha kuwakana watz wa Ukraine, then angetumia same standards kwa ATCL!-oooohh as somebody said..among the pilgrims ni mza chema wa mkuu wa kaya!

Ttatizo la hizi nchi zetu za kimaskini zinazoongozwa kama kampuni binafsi ni kuchanganya siasa, undugu, uswahiba na maslahi ya nchi na wananchi wake. what do you expect?
 
Nyie msiharibu taratibu za NCHI kwa kumkoma NYANI..taratibu za nchi ziachwe..HUu WIZI wa barua ni sawa na wizi mwingine...watu kama nyinyi MCHONGA alikuwa anawapoteza kabisa ktk Jamii..ila JK naona yupo COOL na watoaji wa siri za IKULU...

Mkuu in this era of cutting age technology advancement, you can run but you cant hide! mkuu serikali iko madarakani kwa ridhaa yetu, kwa hiyo tuna haki ya kujua whats happening. Gone are the days of national interests, public interests, national security etc! we came to realize national security is just security of few folks in our country na public interests ni interests za wazee wa chama wachache! Kwa hiyo unless hiyo info, itahatarisha USALAMA WA WATANZANIA NA TANZANIA, otherwise emails kama hizi zinazofichua incompetence za akina Nyanganyi na wenzake, can hardly constitute "SIRI ZA IKULU" as you want some of us to believe.

Ni kumkoma Nyani mchana kweupeeee!!!
 
engineer kweli wameanza kuwasili juzi usiku na yemen air
 
Usituchefue na habari za Mwizi Mkapa na NET GROUP je??; NA TTCL??

Mkuu unaweza kunidondolee kidogo kuhusu wizi wa Mkapa, so far mimi ninachijua kuwa Mkapa aliifanya Ikulu ofisi yake ya biashara binafsi, aliiba vipi kama hao majambazi?
Tusikatae kuwakeka watu wenye njaa kwenye ofisi nafasi za juu ni kuwapa opportunities za kuiba. Mimi naunga mkono kuteua wageni na kuwaweka kwenye bodi za mashirika ya Tanzania, hakuna tatizo, hata watanzania wengine huko nje wako kwenye bodi za watu!
 
Posted Date::1/3/2008
Serikali, mahujaji wavutana kuhusu kifutajasho
Na Salim Said, MUM
Mwananchi

MVUTANO umeibuka kati ya serikali na mahujaji waliokwama jijini Dar es Salaam na Makka, baada ya serikali kueleza kwamba, imeshawalipa kifuta jasho ilichoahidi kuwapa huku wenyewe wakikana kulipwa chochote.

Kauli ya serikali ya kuwalipa mahujaji hao, ilitolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Serikali ya Kushughulikia Safari ya Mahujaji, Omar Chambo alipozungumza na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam jana.

Chambo alisema kifuta jasho walichoahidiwa mahujaji hao, kilishalipwa kupitia gharama mbalimbali zilizotolewa na serikali wakati mahujaji hao walipokuwa Saudia kwenye hijja.

Alisema hadi kufikia jana mahujaji ambao hawajafika nchini kutoka Jeddah ni 359 baada ya mahujaji 277 kuwasili nchini jana asubuhi.

Wakati Chambo akisisitiza serikali kuwalipa, baadhi ya mahujaji waliowasili nchini kutoka Makka, walisema hawana taarifa za kulipwa.

Akizungumza na mwandishi wa Mwananchi muda mfupi baada ya kuwasili uwanjani hapo jana, mmoja wa mahujaji hao, Alhaj Masoud Seif alisema hakuna kifuta jasho walicholipwa.

Seif ambaye ni mmoja wa mahujaji waliokwenda kuhiji kupitia taasisi ya Zanzibar Hajji Travel, alisema anachokifahamu ni kwamba waliondoka kwenda Makka kwa tabu na pia wamerudi nchini kwa tabu.

Hujaji mwingine kutoka taasisi ya Al-birri ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini, alisema hata kama serikali isingetoa hizo dola 200, suala la wao kwenda Madina lingefanyika hata kama ni kwa wao kuongeza fedha, kutokana na umuhimu wa ibada za Madina.

Alisema hawezi kuishukuru wala kuisifu serikali akidai haoni kikubwa walichokifanya, badala yake alisema wanachostahili kufanyiwa ni kulaumiwa kwa kuchelewesha safari yao, wakati walishalipia.

Desemba 14, mwaka jana Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, iliahidi kutoa kifuta jasho kwa mahujaji zaidi ya 1,000, waliokwama kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa zaidi ya siku kumi, hali kutokana na hasara walizopata katika kipindi hicho.
 
ukisikia Upuuzi Ndio Huu

Kwanini Wasitafute Ma Lawyers Ambao Wanaweza Kupata Court Order Ya Kuuuza Assets Za Atc Kisha Wakalipwa Hizo Pesa Wanazozitaka?

Lakini Again This Is The Price To Pay Kwa Uzembe Wa Hilo Shirika
 
Leo nina kaswali ambako kwa muda sasa kamekuwa kananipa shida .Serikali yetu ni Sekula .Lakini kila siku utaona Serikali na hata Lowasa anashindwa kulala kisa kuna Mahujaji .Je ni kazi ya Serikali kuwahudumia watu wa aina hii ? Vipi wale wasio kuwa na Dini nao wanaweza kuhudumiwa sawa na hawa mahujaji ? Vipi wale Wakatoliki wanao enda Roma na Bethlehemu wanasaidiwaje ? Na wale wakristo na makanisa mengine na wao nini nguvu ya Serikali kwao ? Nauliza maana naona swala la Mahuaji linapelekea hata kuliwa pesa ya mlipa kodi ambaye wengine hawana hata dini kama Kingunge .
 
Lakini kila siku utaona Serikali na hata Lowasa anashindwa kulala kisa kuna Mahujaji .Je ni kazi ya Serikali kuwahudumia watu wa aina hii ?
Hii issue ni simple!

Mhujaji VS ATCL (ATCL=Serikali)


=Mahujaji VS Serikali
 
Posted Date::1/5/2008
Mahujaji wakwama Makka, Madina

Na Mwanaid Omary
Mwanannchi

KUNDI la mwisho la mahujaji 359 waliokuwa wawasili jana asubuhi kutoka kwenye ibada ya Hijja katika miji mitakatifu ya Makka na Madina nchini Saudia wameshindwa kuwasili kutokana na kubadilishwa kwa ratiba ya ndege na kukosekana kwa mawasiliano.

Mahujaji hao ambao walikuwa wakamilishe idadi ya mahujaji 1,500 ambao wameshawasili kutoka kwenye ibada hiyo hawakurejea kama ilivyoripotiwa badala yake watarudi Januari 6, mwaka huu.

Mwandishi wa habari hizi alilifika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jana asubuhi kushuhudia kundi hilo la mwisho likiwasili na kuambiwa na maofisa wa Idara ya Mawasiliano uwanjani hapo kuwa hakuna ndege ya kuwaleta mahujaji.

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Ustadh Ally Mzee alisema serikali ilikuwa sahihi kuwa mahujaji wangewasili leo, lakini imeshindikana kutokana na ratiba ya ndege kubadilishwa.

Sisi wenyewe tulikuwa tunajua wangeripoti leo, lakini asubuhi tumeambiwa kutoka Madina kuwa ratiba imebadilishwa pia kulikuwa hakuna mawasiliano kati ya Madina na Jeddah hivyo ndege ilishindwa kusafiri, alisema Ustadh Mzee.

Aliongeza kuwa waliongezewa muda wa kuwepo Madina mpaka Januari 5 ambayo ni leo, hivyo itabidi Mahujaji waondoke kwenda Jeddah kusubiri safari kwa kuwa muda wa kukaa Madina umeisha.

Alisema Mahujaji waliosalia wako salama na jana walitarajiwa kuondoka kutoka Madina kwenda Jeddah kwa ajili ya kusafiri kurudi nyumbani leo na kwamba Jumapili alfajiri watakuwa wamewasili Mungu akipenda.

Hata hivyo,alisema hujaji mmoja Saida Maweza ambaye ni mgonjwa na amelazwa kwenye wodi ya Wagonjwa mahututi Madina na kwamba akishapona atatafutiwa usafiri wa kurudi.

 
Kasana thanks kuweka simple fomula. Lunyungu pamoja na kukaa kwako London umekuwa bwege kiasi hicho? macho yako hayaoni ila Hoja legevu? wenzako waliuliza huko nyuma ktk posts za mahujaj kukwama pale DSM...leo unarudia utumbo wako?
 
Back
Top Bottom