Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

mzee small alikuwa anaumwa muda sana aliomba pia msaada sana wa kutibiwa, utaskia michango ikatayo changishwa sasa.r.I.p.mzee small

umeona eeh!? ngoja tuone watavyojipendekeza kumjua
 
Huyu mzee ana bahati mbaya ya kuzushiwa kifo!! Nachelea kusadiki mpaka nitakapohakiki maana isije ikawa mnamuua tena kwa maneno.

Wanadamu si wema hata kidogo
 
umeona eeh!? ngoja tuone watavyojipendekeza kumjua

utaskia oh alikua mtu muhimu ktk jamii cjui kioo cha jamii tz tmepoteza mtu mashuhuri sana .....sasa jamani tuna hitaji mchango wenu sana ila wakati anaumwa ah hawakumpa msaada vya kutosha...
 
mzee small alikuwa anaumwa muda sana aliomba pia msaada sana wa kutibiwa, utaskia michango ikatayo changishwa sasa.r.I.p.mzee small

Kuna mijitu ita jifanya imeguswa sana na kifo chake wakati hata kipindi ana umwa hawajawahi kwenda kumsabahi hata kumpigia simu ya pole tu hakuna....

.....Unafiki ni ufuasi wa shetani.....
 
utaskia oh alikua mtu muhimu ktk jamii cjui kioo cha jamii tz tmepoteza mtu mashuhuri sana .....sasa jamani tuna hitaji mchango wenu sana ila wakati anaumwa ah hawakumpa msaada vya kutosha...

Sitaki kuamini kama bakhresa ali amua kumtosa mzee small mnadi maarufu wa bidhaa za azamu,Rip mzee small.
 
Kuna mijitu ita jifanya imeguswa sana na kifo chake wakati hata kipindi ana umwa hawajawahi kwenda kumsabahi hata kumpigia simu ya pole tu hakuna....

.....Unafiki ni ufuasi wa shetani.....
kweli kabisa watanza kutoa namba mpesa, tigo pesa, acount ya bank ilimradi wapige hela wajinga sana hao.r.I.p mzee small
 
Back
Top Bottom