Sahara Communications mnatia aibu

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Ni kuhusu 'transmitters' za RFA kutofanya kazi pindi mvua ikinyesha. Ni wiki tatu RFA haisikiki Tabora na kusababisha adha kwa wasikilizaji wenu kisa mvua imenyesha, jana ndio imerejea hewani. Hivi vifaa wanapata wapi sasa? Basi waviwekee miavuli au wavifunike na mifuko ya Rambo ili isilowe.
 
Am sure wamekusikia, punde watarekebisha walikuwa busy kujenga tower yao pale Ilemela naona imekamilika, sasa watarekebisha.
 
Mkuu, nasikia mwenzetu Mohamed Yahya kahama huko angepeleka ujumbe huu, sina hakika kama pana mfanyakazi mwingine wa kampuni hiyo humu JF.
 
Kumbe Yahya Mohamed alishahama? Yupo wapi siku hizi?
Yes ni Yahya Mohamed, nilikuwa najiuliza jina lipi linatangulia lakini nilisikia yupo Azam Media. Shughuri aifanyayo siifahamu maana kila niangaliapo Azam TV simuoni.
 
Star tv ndo wananikera kupita kias. Wanaanzisha tamthiliya halaf wanaacha kuionedha ghafla bila hata taarifa
 
Labda wamevutwa kwa nyuma ila kituo hiki kina vipindi murua hasa na vya kuelimisha jamii kwa sasa.
 
Ni kuhusu 'transmitters' za RFA kutofanya kazi pindi mvua ikinyesha. Ni wiki tatu RFA haisikiki Tabora na kusababisha adha kwa wasikilizaji wenu kisa mvua imenyesha, jana ndio imerejea hewani. Hivi vifaa wanapata wapi sasa? Basi waviwekee miavuli au wavifunike na mifuko ya Rambo ili isilowe.

Na bado hali itakuwa mbaya zaidi,
Diallo si anataka 2015 kurudi dimbani
 
Ndio wamerekebisha lakini bado signal haijakaa sawa na tokea jana manyunyu yakianza tu inamiss. Majanga haya.
 
Ni kuhusu 'transmitters' za RFA kutofanya kazi pindi mvua ikinyesha. Ni wiki tatu RFA haisikiki Tabora na kusababisha adha kwa wasikilizaji wenu kisa mvua imenyesha, jana ndio imerejea hewani. Hivi vifaa wanapata wapi sasa? Basi waviwekee miavuli au wavifunike na mifuko ya Rambo ili isilowe.
Poleni sana.
 
Back
Top Bottom