Mh! it is a first time for me to be a member of Jamii forum, but nataka nimjibu huyu ndugu, nadhani ni msemo wa kihunihuni tu.
By Kimathi
teh teh mzee uko macho na makini kutoa majibu yanayotakiwa katika muda unaotakiwa vilevile,big up mkuu,nabonyeza bonyeeee pale chini kwakoKarinu sana JF bwana Materu.
1. Uzuri wa JF ni majibu maridhawa.Mfano katika hii thread jibu maridhawa kutoka kwako lingekuwa ni kukaa kimya.Kuuchuna na kusoma mnajibu ya wanaojua maana ya sagasaga kachili.
2. Ukifurahishwa na mchango wa mtu nasi una bonyeza hapo chini palipoandikwa thanks. Natumaini mchangi wangu kwako(kama mgeni) umekufurahisha.Haya bonyeza hapo chini..bonyeee.
3.Sijui maana ya sagasaga kachili.Nauchuna.Nasubiri wajuao au natafuta maana kwingine.
Jamni ee,nini maana ya sagasaga kachili?
...Tutajie mkuu hiyo ya kitanga, maana yake nyingine ni mapenzi ya kachiri,ni ya wanawake watupu a.k.a. kusagana!Aaaaaah, kumbe wote hamjui, mambo ya Tanga haya yanafanywa na watu wazima. Yani ni nyimbo fulani zilizo kwenye taratibu za kimwambao mimi nimezishuhudia kule Tanga.