Safu ya Ushindi CCM

tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30
Hilo ndio lilikuwa wazo langu la kwanza kisha nikarudi na jibu la kupanga safu kamili ya makada wanaotegemewa kuliokoa jahazi hilo,ndipo nilipoanza kuwataja rasmi na mikoba yao watakabidhiwa baada ya taratibu za kiitifaki na kiiintelijensia kukamilika.

Kila kundi litakuwa na makada wawili wawili, nilianza,Edward Lowassa atakuwa na Dk Harrison Mwakyembe, Anne Makinda na Samuel Sitta, Rostam Aziz na Christopher Ole Sendeka, Andrew Chenge na Prof. Mark Mwandosya, Sophia Simba na Anna Kilango na Pius Msekwa atakuwa na Mzee John Malecela (Tinga tinga).

Wengine niliowapanga kwenye safu ya kuiokoa CCM, ni Yusuph Makamba na William Shelukindo, Stellah Manyanya na Hawa Ghasia,Godfrey Zambi na Peter Selukamba,William Ngeleja na Lucas Selelii, Nape Nnauye ataongozana na Amos Makala .

Watakaoiokoa CCM hawa hapa
 
ASANTE KAKA LAKINI KATIKA HII LIST HAKUNA KIPYA KABISA HUMU NDANI LABDA TUWAONDOE MAFISADI WOTE ABAKI MZEE WA STANDARD AND SPEED, MZEE WA 120 NA LABDA SHELUKINDO LAKINI WALIOBAKI WOTE mmmmmmmnhiiii........ sijui!.

Watanzania hatuna Imani tena na KIDUMU CHA SASA!!!!!!!!!!.
 
Nani alikuambia Lowasa na Mwakembe wanasemeshana kwaq heri ama kwa shari??
 
ASANTE KAKA LAKINI KATIKA HII LIST HAKUNA KIPYA KABISA HUMU NDANI LABDA TUWAONDOE MAFISADI WOTE ABAKI MZEE WA STANDARD AND SPEED, MZEE WA 120 NA LABDA SHELUKINDO LAKINI WALIOBAKI WOTE mmmmmmmnhiiii........ sijui!.

Watanzania hatuna Imani tena na KIDUMU CHA SASA!!!!!!!!!!.

Mkuu soma katikati ya mstari.... Issue ni kwamba CCM haitakaa kuwa moja.... hao watu wako wawili wawili na hawatakaa kuelewana. kwa hiyo ni kifo cha CCM...

Kuna CCM A+ na CCm A-
 
Umenikumbusha ile picha ya chui anacheza mziki na mbuzi. List hii bomba sana.:hand: bye ccm
 
watashinda kama marefa wataendelea kuwa kina tendwa,makame na kiravu lakini vinginevyo waandike maumivu tu?
 
Back
Top Bottom