Safarii hii Mungai ni waziri tena

Kweli ww ni Golfer kabisa hivi umri wako kwanza ukoje?maana unaweza kuwa unaongea bila kujua nn unachoongea,wakati wa mungai wizara ya elimu ndo iliyumba sana kwa mabadiliko yake ya ajabu ya kuunganisha masomo na kubadili mitaala pia hata michezo huyu jamaa aliifuta.vilaza wengi tulionao ss hivi ndo wahanga wa mungai ss ww unataka aje atengeneze wahanga wengine?tutolee huu upuuzi hapa

Approved!!! Keen
 
Nadhani wengi mtaniunga mkono kuwa kama kuna viongozi walio fanya mambo mazuri ktk nchi hi Mh Joseph MUNGAI ni mmoja wapo. Alijenga shule zaidi 20 binafsi then akaipa selikari ikiwepo Mdabulo na Igowole, alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliweza kujenga kota za askari magereza Iringa ambazo ilibidi zijengwe Dar.

Kwa tarifa nilizopata kutoka kwa mzee wa karibu na Mungai; kutokan na uchapakazi wake na ukaribu alionao kwa Mh Rais ajae (LOWASA) atamteua kwa kutumia zile nafasi kumi na kumrudisha ktk wizara ya mambo ya ndani kama waziri. Kwani nchi hii hakuna asiye jua kuwa hakuna waziri aliyechemuka kama VYAI NAHOZA. Mungai alipigwa pushi na siasa za vijana siunajua wazee wengi walichemka japo ameahidi kurudi ten kuwaomba wana mafinga

Naona ulitaka kujua madhaifu ya Mongai, sasa umeelewa!
 
Duh, kuna watu huwa wanaandika thread sijui wakiwa chooni, tumbo limewabana.

I can get that picture. Wewe hii thread uliandika ukiwa chooni. Au umetoka chooni.
 
Nina wasiwasi na Elimu yako, Thinking capacity yako na mengine mengi yanayofanana na hayo. Huyo Rais wako na huyo waziri wako labda tuwamegee Monduli iwe nchi huru na si Taifa hili. Laana Malaaniwa we
 
Mungai... alijipatia tenda ya kuchapa vita vya nchi nzima, kwanani asijenge shule hata 100!
 
Nadhani wengi mtaniunga mkono kuwa kama kuna viongozi walio fanya mambo mazuri ktk nchi hi Mh Joseph MUNGAI ni mmoja wapo. Alijenga shule zaidi 20 binafsi then akaipa selikari ikiwepo Mdabulo na Igowole, alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliweza kujenga kota za askari magereza Iringa ambazo ilibidi zijengwe Dar.

Kwa tarifa nilizopata kutoka kwa mzee wa karibu na Mungai; kutokan na uchapakazi wake na ukaribu alionao kwa Mh Rais ajae (LOWASA) atamteua kwa kutumia zile nafasi kumi na kumrudisha ktk wizara ya mambo ya ndani kama waziri. Kwani nchi hii hakuna asiye jua kuwa hakuna waziri aliyechemuka kama VYAI NAHOZA. Mungai alipigwa pushi na siasa za vijana siunajua wazee wengi walichemka japo ameahidi kurudi ten kuwaomba wana mafinga
dis like.......................it.
 
hoja yako imekosa mvuto.hivi hakuna watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi hizo.kwa nini unatuletea hoja kama hiyo hapa.nadhani wewe ni wa iringa hivyo unasukumwa na ukabila zaidi kuliko uhalisia wa mambo.nani kakuambia lowasa atakuwa rais kipindi kijacho?
 
Mungai hafai kuwa wazir hana jipya miaka yote amekuwa wazir wa elimu ni shida tupu, LAKIN ki-ubunge mungai ukimlinganisha na mbunge wa sasa wa mufind kaskazin, ni mara elfu mungai, mana mbunge wa sasa ki-ukweli watu wanajuuuta

:crazy:HAKUNA CHA MARA ELFU,HUYU NI MZEE NDIO MAANA HATA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UMEFIKIA KIKOMO KILICHOBAKI NI KUKURUPUKA TU, KWNI AMEPELEKEA ELIMU KUPOTEZA MUELEKEO MPAKA HII LEO NA KUMBUKA MTU HUYU AMECHANGIA KWA KIASI KIKUBWA VIJANA WENGI WALIOSOMA KIPINDI CHAKE KUPOTEZA MUELEKEO WA MAISHA ,BINAFSI SITAKI HATA KUSIKIA JINA LAKE ,ACHENI KUZUNGUMZIA WATU WASIOKUWA NA MASLAI KWA YAIFA.
 
Back
Top Bottom