quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 390
- 164
naomba nikukumbushe kuwa ya CUF zanzibar hayajanza juzi mwaka 2000 damu ilimwagika, raia wasio na hatia walikufa na wengine kukimbilia uhamishoni. mwisho wa yote CCM wamekubali yaishe kwa kuunda serikali ya mseto. hakuna ushindi pale ni amridhiano. fanya mambo kwa upembuzi kabla hujayatoa maamuzi yako kwa watu. hata bara ya leo haitojengwa siku moja inaanza leo ili kesho watu waishi kwa amani na kweli. USIKURUPUKE kujibu hoja za watu ili nawe uonekane umeandika.