Saed Kubenea, kutoka mpinga ufisadi na mafisadi hadi mtetea ufisadi na mafisadi

hehe tafuta wa kumfunga kamba viatu au kumbeba.... uibuke kidedea katika hili pambano lako na kubenea. Hayo ya ufisadi sijui nini ni mbwembwe tuu lakini hapa ugomvi ni wewe na Kubenea.

Kubenea alimuandika sana Lowassa
Leo kawa Mtam
niupumbavu huo
 
ha ha ha ha ha ha ha Mussa Naty kaja ukweli utajulikana nani mwizi zingine hizi ni polojo tu na majungu
 
Paul Makonda ni wakusweka ndani huwezi ukamsimamisha mkurugenzi halafu ukamwa mkuu wa wilaya double standard Magufuli lazima awe anabalance maamuzi yake sio kuonea mmoja mwingine akiwa mtuhumiwa namba moja unamwacha , makonda has to face the music aache kuweweseka na kutaka kupambana na Kubenea wakati yeye ndio mwenye dhamana akashindwa kuitekeleza
 
Kubenea mwandishi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.

mafisadi walimmwagia tindikali leo ana watetea.

leo hii chadema kimekuwa chama cha kutetea mafisadi kweli dunia duara.

Kwa kwi mavi yamewabana baada ya kujua mziki wa Natty hamuuwezi mafaili yake hata Magufuli ndani kuna barabara zingine za Tanroads ambazo alikuwa akisimamia Magufuli zitasemwa, Lukuvi ndani mutajijuu
 
Kani kuna chuki gani naieneza hapa?
Kamba imekatikitia kwenye mto ungekuwa na akili au ungekuwa na malezi mazuri ungenyamaza uache upepo mbaya upite lakini kutokana na historia ya kudumaa akili kwa ajili ya kukosa milo mitatu unahanja hanja kwenye mitandao ukidhani utasimamisha dunia ukweli safari imefika Kinondoni utaisikia kwa bomba
 
Lizaboni wewe na CCM ni lini mlishawahi kumpongeza Said kwa kupinga ufisadi?mnawataka wengine wasiwe wanafiki wakati ninyi mmepindukia humo.Gazeti la Said limefungiwa kwa mwaka mzima,umewahi/mmewahi kutoa tamko kwa serikali kukemea hayo?Na tuliotetea mlituitaje?
 
Last edited by a moderator:
Kwani ukigundua huyo fisadi kasingiziwa unaendelea kumpinga? Fisadi Mwenye Richmond anajulikana au hasira zenu ni kuhama CCM?
 
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ndiye aliyeunda kamati iliyobaini ufisadi mkubwa kwenye ujenzi wa barabara. Kwa maana nyingine ni kwamba aliona tatizo akachukua hatua. Nikuulize huyo Kubenea alichukua hatua gani?

Huyo Kubenea kachukua hatua gani...Hilo umelijibu mwenyewe vizuri sana kwa kueleza CV ya Kubenea, kwamba amekuwa akifichua ufisadi unaoratibiwa na CCM. anachozungumza Kubenea ni kufichua mbinu maarufu sana ya CCM, kuchinja mbuzi wa kafara wakati wahusika hasa wa ufisadi wanafichwa. ndio sababu ya Kubenea kutumbua jipu la ufisadi wa Kinondoni. hii habari ya Lowasa kuveshwa ufisadi woote wa CCM na serikali yake - ni wale tu wasiotafakari kwa undani ndio wanaikubali. watu kama wewe mnaifagilia sana kwa sababu inawapeni nafasi ya kupumua.

Unaweza kushangaa, hivi haya yote yanaoyoonekana kuwa ni ufisadi uliokithiri, yalikuwa hayaonekani mwaka jana tu ndani ya serikali ya chama hiki cha CCM? maana chama kilikuwa kinaipongeza serikali yake kwa mafanikio makubwa na kuinua uchumi wa nchi. leo chini ya "mabadiliko ya kweli" mnatuambia mnatumbua majipu! ebo!
 
jamani acheni kumzungumzia kilaza kama huyo Kubenea. niliuliza naomba mtupe CV yake, hakujibu mtu . lakini cha msingi ni kwamba hili jamaa ni taplo na mwandishi kanjanja haijawahi kutokea. hata chama cha waandishi wa habari wanamulewa matatizo yake. yupo tayari kutumikia pesa kuliko watu, ngojeni muone.
ingekuwa amri yangu ningelifungia tena gazeti lake la Mwanahalisi na Mawio. hayana weledi katika nchi yetu kwa sasa. tumepata rais aliyenyooka watu kama hao Kubenea wanatakiwa wakae kimya. vinginevyo wananchi tupo tayari kwenda katika ofisi zake na kuzifunga. asituvuruge kabisa akae chonjo tunamwambia. chadema asilia tunamuonya kama yeye ameamua kukumbatia ufisadi asitushirikishe
 
Kuna maswali ambayo bado najiuliza hivi hili jina kubenea linamaana ipi??

Maana wakati mwingine tusisumbuke sana, mwenye tafsir ya jina kubenea atujulishe,

Maana ni mbunge wa hovyoooo sana, tangu kuwepo historia ya bunge la JMT, sijui walimchaguaje watu wa ubungo...
 
kubenea mganga njaa tu ameuza utu kwa ubunge mbaaaaf sana huyu alisema lowassa asafishike sasa sijui alitumia sabun gan kumsafisha kubenea ni mnafiki namba moja
 
Lizaboni busara ina maana sana kuliko hisia za kimahaba. Natty hakusaini mikataba na hakuwa na mamlaka ya kuifuta. Iweje leo waliosaini wale kuku Natty awe kafara kisa katenda haki ya kidemokrasia Kinondoni??? Pls sametimes be sensible and focussed
 
Mtoa hoja ansbwabwaja? Hivi ukichukua maandishi ya Kubenea kabla ya Lowasa kuingia CDM na baada ya kujiunga CDM juu ya Lowasa yanafanana? Kama yanafanana si mtoa hoja tu anayebwabwaje tupo na wengine akili haziko sawa; Kama akili zetu zipo sawa basi wenzetu mmechagua uongo kuwa sehemu ya maisha kwenu.Baba wa uwongo ni shetani. Tushauriane tuendelee kuwa waongo Taifa zima. Haijalishi nitakosa nini uwongo nitakaa mbali nao.
 
Kule kwetu Kilalacha jina analositahili mtu mwenye tabia kama Kubenea ni Kishoia.
 
Back
Top Bottom