Sabodo aichangia CHADEMA milioni mia moja

hivi nguvu ya umma mzee ni kuwa na wabunge 23 tuu katika bunge lenye wabunge 293?? umati unawasanifu tuu

hUYU NI MJINGA MWINGINE AMBAYE HANA UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO NA HATAKI KUWEKA BAYANA MAJIMBO YALIYOIBIWA WAZI WAZI, WATU WOTE HAO WANA UCHUNGU WAKUBIA HAKI ZAO ZA KUCHAGUA WANAYEMTAKA.
WEWE HUJUI YANAYO TOKEA TZ FUNGA KINYWA CHAKO NA USIRUDI TENA.
 
itakuitaji muda mrefu kufikiria na kuconnect dots membe na sofia wanachosema kina ukweli ndani yake. Inawezekana wahisani wa nje wanapitia migongo ya wengine kusponsar vyama, na inawezekani hii imeanza muda mrefu.

Mzee sabodo amekuwa akimwaga hela kwa cdm kwa muda mrefu na mara nyingi. Je wahisani wamepitia kwa sabodo kuipa nguvu cdm?

Naweza kusema hii ni moja wapo ya ushahidi wa cdm kupokea mkwanja toka nje


dsc09389.jpg


:msela::msela:

sasa kupe, (samahani jina lako kwa kifupi ndo hilo) mbona ccm wana matawi lukuki kwenye nchi za nje, hususan bara la amerika na ulaya, na wanapokea michango mingi tu kutoka huko??? Unataka tuanze kuhoji na uhalali wa hiyo michango??? Ukinyooshea mwenzako kidole, vidole vilivyobaki vinne vinakupoint wewe kupe!!!!
 
Hivi Sabodo anawakilisha nchi gani inayounda jumuiya ya Ulaya!!!!!!!!!!! au Indonesia nayo ni Ulaya!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????/// :lol::smash:
 
Kama ni fedha kutoka kwa Sabodo mbona hata serikali ya JK ilipokea kwa ajili ya kuchimba visima nya maji vijijini? Na hiyo pesa alikabidhiwa Prof. Mwandosya?

sab.jpg


02_11_u9xx81.jpg
 
mwaka huu CCM wanawakati mgumu sana , kwani walizoea kusema wapinzani ni vyama vya msimu sasa wanaanza kulalamika wao na wasaidizi wao ambao ni CUF NA NCCR-MAGEUZI.Hapa Kigoma juzi vyama hivi viwili vilifanya mkutano wa pamoja na wao wanailalamikia CHADEMA eti wanataka kuleta machafuko nchini kwa kitendo cha maandamano yao.

Sabodo , asichafuliwe kwa siasa za majitaka , mbona alipotoa fedha za kuendesha bahati nasibu ya Mwalimu Nyerere hamkusema kuwa alipewa hizo fedha kutoka nje?
 
CCM Wanatapatapa why waciwe wazi wataje hicho nchi na balozi zake? bt cdhani akilini km inaingia eti kuna Ubalozi unakifadhili chama cha siasa maybe bt wawe wazi MEMBE Aache kukurupuka kujibu maswali Hata JK wakati chama chake kilipokataa midahalo bt cku wameweka mdahalo Mwandishi mmoja akamwuliza" Umezunguka nchi nzima vip hali unaionaje" akakurupuka kujibu eti ni nzuri tu mvua inanyesha cjui nini nini......... BT Cdhani kama swali alilielewa vizuri it waz verry technically Viongozi wa CCM acheni kukurupuka kujibu maswali
 
Kama ndo njia iyo ni vema na haki,wala hamna wasiwasi wa kupata hela iyo,na cdm ikipata bahati ya kupata watu100 wa muundo huo,tutashukuru sana,ila Sabodo si balozi,tunataka sofia na membe wawataje wanaofadhili ili kuipindua nchi ili tuwalaani. Ila kama ni ufadhili halali basi membe na sofia watakoma kuwa na midomo mirefu,subiri uone. Alichokisema sofia kinaweza kumuumbua,maana hamna nchi inayokubali kuandaa mapinduzi haramu na Money Loundering(ML) haikubaliki! Anapaswa akabwe na kesi ya madai na nashauri adaiwe iyo iyo bil20 aliyoitaja sofi,hakome!
Nimesikia CHADEMA wanaandaa hati ya mashitaka dhidi ya Sophia Simba, ili achukuliwe hatua za kisheria kutokana na kauli zake kama waziri wa nchi. Kama hili litafanyika nafikiri litaipandisha sana CHADEMA kisiasa, manake ninachoamini ni kwamba hakuna nchi hata moja ambayo itakuwa kwa namna yoyote ile ilitoa fedha kwa CHADEMA kwa lengo la kuitaka ifanye mapinduzi.
 
Wewe unayesema kuwa CDM wanapewa pesa ili wavuluge Amani ya Nchi hii, inabidi utufafanulie kama m2 mzima mwenye akili zake timamu, tukuelewe, kwani vinginevyo tutaishia kufikiria kuwa ulikurupuka na zaidi wewe na wenzako ni VIBARAKA kama wale wa Sauzi enzi Zileeeee.
 
Sio dhambi kupata msaada. Kama CCM wana nia ya kukomesha misaada si watangaze tu ili kila mtu awe anafahamu hakuna kupokea mpunga kutoka nje wanaweza kufanya hiyo ikawa sheria wana wabunge wa kutosha kuweza kubadili kule mjengoni.

BTW na zile sadakarawe anazotoa RA kwa msimu walizorubuniwa hadi kumlamba miguu yake wanaziitaje?
 
Hahah,mmetumwa na ss mje kutafuta majibu humu! Wat a crap

Mtakoma midomo mirefu yenu imewaponza, bado mzee manundu tu
 
Itakuitaji muda mrefu kufikiria na kuconnect dots membe na sofia wanachosema kina ukweli ndani yake. inawezekana wahisani wa nje wanapitia migongo ya wengine kusponsar vyama, na inawezekani hii imeanza muda mrefu.

Mzee Sabodo amekuwa akimwaga hela kwa CDM kwa muda mrefu na mara nyingi. Je wahisani wamepitia kwa sabodo kuipa nguvu cdm?

Naweza kusema hii ni moja wapo ya ushahidi wa cdm kupokea mkwanja toka nje


DSC09389.JPG


:msela::msela:


Pumba tupu
 
kama kweli nyie chadema mnasema mnachukia ufisadi tunaomba mtuwekee wazi matumizi ya pesa za sabodo maana kuna tetesi zilitumika ndivyo sivyo

Kipele cha mwenzio unawashwa wewe,karibu chadema nazani ofisi unajua zilipo; peleka hayo maombi yako! Utapewa majibu, just try it..

Manake tukipiga hesabu za harakaharaka za uchaguzi 2010 utaona ni sababu zipi zimepelekea sirikali na wizara zake kuhaha kama mbwa koko sasa hivi! Je mnaweza kutupatia matumizi yenu?

Budget za wizara ni sh ngapi?,tra je?,ruzuku? Mafisadi? Mifuko yenu? Misaada? Kote mmekomba mwanzo mwisho, na sasa mnataka tuwarudishie kupitia dowan!! Shame on u
 
barabara afu tunaomba tupewe mapato na matumizi ya pesa za sabodo maana baadhi ya wanachama wa CDM niliongea nao wanalia njaa sana wakati viongozi wakuu wanakula peke yao

Once a dick always a dick
 
Nilisikia pesa nyingine toka nje zimekuja kuharibu mfumo wa usambazaji maji vijijini kwa kuchima viima 700
 
Kwani wewe unapokea pesa kutoka wapi? Je umeshaenda kwa babu kutibiwa? naona una upungufu wa kufikiri katika ubongo wako wahi mapema kabla tiba haijasitishwa.
 
Back
Top Bottom