Kuna tishio la kituo cha yatima Ilemela mbioni kufungwa kutokana na Sherali Husein kukishtaki mahakamani kituo akidai alipwe fidia ya milioni mia moja

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI
HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA

Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA ISLAMIC ILEMELA Vinginevyo watapiga mnada mali za kituo hicho ikiwemo magari yanayo tumika shule kubebea wanafunzi.

Kama madai yao ya fidia ya MILION MIA MOJA anazo taka Shelali alipwe na kituo hicho hazitalipwa.

Kituo cha Mayatima maarufu ILEMELA YATIMA FOUNDATION kipo Ilemela njia ya kwenda uwanja wa
ndege kikikaribiana na kituo cha kuhifadhia Quran cha Ibn Masuud.

Kituo cha IBN MASUUD Kilichojengwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Thaqafa
Alhaj Abdul Abeid Sherali..ya kazi Mwanza na kudai Alipwe milioni 78 kama madai ya mishahara na MILION 31 kama gharama ya Kesi na baadae kwa kutumia njia anazo jua yeye Shelali alishinda kesi hiyo mahakamani hapo.

Baada ya kuona watu wa Mwanza wanamshangaa kwa tambo zake..
Wameamua kuushauri Uongozi wa kituo cha YATIMA ISLAMIC YATIMA kukata Rufaa mahakama kuu na tayari waumini wa mskiti wa Ijumaa na wa misikiti mingine wameanza kuchangisha hela za kukisaidia kituo hicho cha YATIMA kuweka wakili ili kukata Rufaa mahakama kuu kupinga madai ya Shelali.

JE ILIKUWAJE
Shelali ALIKIDAI

Kituo cha yatima? Waislamu mtakumbuka miaka ya nyuma Marehemu Sheikh Chilwani aliyekuwa msimamizi mkuu wa kituo hicho alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi wa dereva wake na baadaye kukaa jela kwa muda mrefu bila kuhukumiwa wala kufikishwa mahakamani.

KUTOKANA NA HALI HIYO

Bodi ya wadhamini wa kituo cha yatima walimteua Sherali kushikilia kituo hicho kwa muda huku wakisubiria hatima ya Sheikh Chilwani.

Katika muda wote huo Sherali walikubaliana na kuaminiana na bodi ya wadhamini kwamba atakuwa anajitolea na kuwa atakuwa analipwa POSHO sio MSHAHARA kwa kuwa kituo kinategemea sadaka za waumini ili kuwalea mayatima na shughuli zingine.

Wakati Sherali anakabidhiwa kituo hicho Alikuta kituo kulikuwa na Sh milioni 200 Benki zilizoachwa na Chilwani kwa ajiri ya uendeshaji.

Baada ya Shelali kupewa Madaraka ya kuendesha kituo Haikuchukua muda mrefu kituo kikaanza kuyumba sana tena kwa muda mfupi sana Bodi ya wadhamini ikagundua pesa zote milioni 200 zilizokuwa Benki hakuna na badala yake kuna makaratasi mengi ya mipango ya Sherali kuhalalisha matumizi ya pesa zile lakini hakuna kilichoonekana kimetokana na pesa zile zilizotumika.

Bodi ya wadhamini iliamua kumsimamisha Sherali kutokana na ubadhirifu alioufanya ili kupisha uchunguzi zaidi.

Sherali alipoona uchunguzi akaamua
Kukimbilia mahakamani kupinga kusimamishwa akidai yeye kituo ni mali ya marehemu kaka yake marehemu
Bashiru ..Na kudai hicho ni mali ya Familia ya Shelali.

Eti kwakuwa marehemu Bashir alitoa sadaka kubwa kuanzisha kituo hicho.
Baada ya kushindwa Sherali alibadili mada kwa kutumia mawakili wakristo maana kila wakili muislamu alikataa kukishtaki kituo cha yatima wote walisema ni dhambi kubwa.

Kamati maalumu ya vijana waumini wa msikiti wa Ijumaa tumeamua kuwajulisha waislamu jambo hili na
mengi juu watu ambao wanahujumu maendeleo ya waislamu hapa Mwanza huko kwa nje wakijitambulisha kama wanaharakati wakubwa Wanao pigania maendeleo ya waislamu lakini ukweli wanapigania matumbo yao.

Sherali anatamba kwamba kukifungia kituo kama alivyotamba kuwa ataifunga shule ya Thaqafa Sekondari waislamu watakumbuka Sherali na genge lake linalopigania mali za waislamu kubwa ni urithi wao waliitisha vyombo vya habari na kuomba na kusisitiza serikali iifungue Shule ya Thaqafa na imkamate Meneja wa shule Alhaji Maruzuku.

Sherali ameendelea kutamba kwamba atafanya kila liwezekanalo kituo cha yatima kifungwe na taasisi zake
ikiwemo shule ya msingi na sekondari na madrasa Hadi ahakikishe kituo kina mlipa hizo fedha MILION MIA
MOJA.

KWANINI SASA
sheleli na ndugu yake BIM
WANATEGEMEA KUENDESHA MAISHA YAO KUPITIA KESI ZA MAHAKAMANI
Hivi karibuni tulitoa taarifa kwamba Tangu Sherali na ndugu yake Bim
wafilisike kiuchumi na kukosa pa kushika, Watu hao waliamua kutumia nguvu kubwa kupigana ili warudi kwenye bodi ya msikiti wa Ijumaa na shule ya Thaqafa ili waendele kula mali za waislamu kumalizia uhai wao uliobakia.

Wawili hawa wakati ule walipopata nguvu za kiuchumi waliamua kujitoa wao wenyewe kwenye bodi zote na kuamua kuhama mwanza na kuhamia DSM kibiashara na kujitenga mbali kabisa na harakati za waislamu wa Mwanza

Waislamu wa Mwanza Waliendelea kupigana wao wenyewe kujiletea maendeleo lakini baada ya Shelali na ndugu yake BIM kufilisika ndiyo wakaona warudi tena Mwanza na wajirudishe kwenye bodi za Thaqaafa na msikiti wa Ijumaa.

Bahati mbaya wamerudi wamekuta waumini tumeamka na kusimamia mali za waislamu kubwa Msikiti sio tena
mali ya familia ya Abdallah Amini na Kituo cha Mayatima sio Mali ya Familia ya Shelali.

Ujio wao na mtazamo wao huo ndiyo mwanzo wa migogoro ya msikiti wa Ijumaa na Thaqafa pia.

WANAPIGANA KWA NGUVU ZAO ZOTE ILI WAWEZE KURUDI KATIKA HIZO BODI.

Tuna wajulisha hizo ni NDOTO
Hawatafanikiwa kurudi..
Waumini wa msikiti wa Ijumaa hatuwataki Sherali na nduguye Bim wasishiriki uchaguzi wa msikiti wa Ijumaa

Baada ya kushindwa kila kesi mahakamani juhudi kubwa na hujuma zinafanyika ni kujaribu kuota ndoto ya
kama watarudi msikiti wa Ijumaa kupitia uchaguzi wa viongozi wa bodi.

Sisi kama vijana na waumini wa msikiti wa Ijumaa kupitia kamati hii maalumu tunapenda kumfahamisha Sherali na nduguye Bim wasisogelee uchaguzi wa Msikiti wa Ijumaa kwani watapata aibu ya mwaka hawata isahau.

Ndugu waislamu kama muislamu anaweza kuwashitaki mayatima ili mradi tu yeye apate hela na hana hata chembe ya hofu kwamba yatima wale watakwenda wapi?je mtu huyu ni muislamu kweli au ni pandikizi tu
ndani ya uislamu?

WAISLAMU WA MWANZA AMKENI SHERALI SIO MTU MZURI TUAMKE TUWANUSURU
YATIMA.
MKIMUONA SHELALI BARABARANI MUULIZENI
JE HAJUI KAMA HIZO HELA AKIPATA HAJUI KAMA ANAUZA AKHERA YAKE KWA
MATAMANIO YA DUNIA...HAONI kuwa atakuwa anakula moto...Sisi, Kamati maalumu ya waumini wa
Msikiti wa Ijumaa Mwanza..
 
Attachments

  • IMG_20230521_174020.jpg
    IMG_20230521_174020.jpg
    48.3 KB · Views: 16
  • IMG_20230521_173932.jpg
    IMG_20230521_173932.jpg
    30.5 KB · Views: 18
  • IMG_20230521_173958.jpg
    IMG_20230521_173958.jpg
    31.7 KB · Views: 20
Mwanza hakuna mawakili Waislamu? Maana nimeona wanaowatetea nao ni Wagalatia.

Anyway, nendeni mahakamani mkakate rufaa. Kama ni haki, basi itajulikana mahakamani.
 
KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI
HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA

Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA ISLAMIC ILEMELA Vinginevyo watapiga mnada mali za kituo hicho ikiwemo magari yanayo tumika shule kubebea wanafunzi.

Kama madai yao ya fidia ya MILION MIA MOJA anazo taka Shelali alipwe na kituo hicho hazitalipwa.

Kituo cha Mayatima maarufu ILEMELA YATIMA FOUNDATION kipo Ilemela njia ya kwenda uwanja wa
ndege kikikaribiana na kituo cha kuhifadhia Quran cha Ibn Masuud.

Kituo cha IBN MASUUD Kilichojengwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Thaqafa
Alhaj Abdul Abeid Sherali..ya kazi Mwanza na kudai Alipwe milioni 78 kama madai ya mishahara na MILION 31 kama gharama ya Kesi na baadae kwa kutumia njia anazo jua yeye Shelali alishinda kesi hiyo mahakamani hapo.

Baada ya kuona watu wa Mwanza wanamshangaa kwa tambo zake..
Wameamua kuushauri Uongozi wa kituo cha YATIMA ISLAMIC YATIMA kukata Rufaa mahakama kuu na tayari waumini wa mskiti wa Ijumaa na wa misikiti mingine wameanza kuchangisha hela za kukisaidia kituo hicho cha YATIMA kuweka wakili ili kukata Rufaa mahakama kuu kupinga madai ya Shelali.

JE ILIKUWAJE
Shelali ALIKIDAI

Kituo cha yatima? Waislamu mtakumbuka miaka ya nyuma Marehemu Sheikh Chilwani aliyekuwa msimamizi mkuu wa kituo hicho alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi wa dereva wake na baadaye kukaa jela kwa muda mrefu bila kuhukumiwa wala kufikishwa mahakamani.

KUTOKANA NA HALI HIYO

Bodi ya wadhamini wa kituo cha yatima walimteua Sherali kushikilia kituo hicho kwa muda huku wakisubiria hatima ya Sheikh Chilwani.

Katika muda wote huo Sherali walikubaliana na kuaminiana na bodi ya wadhamini kwamba atakuwa anajitolea
na kuwa atakuwa analipwa POSHO sio MSHAHARA kwa kuwa kituo kinategemea sadaka za waumini ili
kuwalea mayatima na shughuli zingine.
Wakati Sherali anakabidhiwa kituo hicho Alikuta kituo kulikuwa na Sh milioni 200 Benki zilizoachwa na Chilwani kwa ajiri ya uendeshaji.

Baada ya Shelali kupewa Madaraka ya kuendesha kituo Haikuchukua muda mrefu kituo kikaanza kuyumba sana tena kwa muda mfupi sana Bodi ya wadhamini ikagundua pesa zote milioni 200 zilizo kuwa Benki hakuna na badala yake kuna makaratasi mengi ya mipango ya sherali kuhalalisha matumizi ya pesa zile lakini hakuna kilichoonekana kimetokana na pesa zile zilizotumika.
Bodi ya wadhamini iliamua kumsimamisha Sherali kutokana na ubadhirifu alioufanya ili kupisha uchunguzi zaidi.

Sherali alipoona uchunguzi akaamua
Kukimbilia mahakamani kupinga kusimamishwa akidai yeye kituo ni mali ya marehemu kaka yake marehemu
Bashiru ..Na kudai hicho ni mali ya Familia ya Shelali.

Eti kwakuwa marehemu Bashir alitoa sadaka kubwa kuanzisha kituo hicho.
Baada ya kushindwa Sherali alibadili mada kwa kutumia mawakili wakristo maana kila wakili muislamu alikataa kukishtaki kituo cha yatima wote walisema ni dhambi kubwa.

Kamati maalumu ya vijana waumini wa msikiti wa Ijumaa tumeamua kuwajulisha waislamu jambo hili na
mengi juu watu ambao wanahujumu maendeleo ya waislamu hapa Mwanza huko kwa nje wakijitambulisha kama wanaharakati wakubwa Wanao pigania maendeleo ya waislamu lakini ukweli wanapigania matumbo yao.

Sherali anatamba kwamba kukifungia kituo kama alivyotamba kuwa ataifunga shule ya Thaqafa Sekondari waislamu watakumbuka Sherali na genge lake linalopigania mali za waislamu kubwa ni urithi wao waliitisha vyombo vya habari na kuomba na kusisitiza serikali iifungue Shule ya Thaqafa na imkamate Meneja wa shule Alhaji Maruzuku.

Sherali ameendelea kutamba kwamba atafanya kila liwezekanalo kituo cha yatima kifungwe na taasisi zake
ikiwemo shule ya msingi na sekondari na madrasa Hadi ahakikishe kituo kina mlipa hizo fedha MILION MIA
MOJA.

KWANINI SASA
sheleli na ndugu yake BIM
WANATEGEMEA KUENDESHA MAISHA YAO KUPITIA KESI ZA MAHAKAMANI
Hivi karibuni tulitoa taarifa kwamba Tangu Sherali na ndugu yake Bim
wafilisike kiuchumi na kukosa pa kushika, Watu hao waliamua kutumia nguvu kubwa kupigana ili warudi kwenye bodi ya msikiti wa Ijumaa na shule ya Thaqafa ili waendele kula mali za waislamu kumalizia uhai wao uliobakia.

Wawili hawa wakati ule walipopata nguvu za kiuchumi waliamua kujitoa wao wenyewe kwenye bodi zote na kuamua kuhama mwanza na kuhamia DSM kibiashara na kujitenga mbali kabisa na harakati za waislamu wa Mwanza

Waislamu wa Mwanza Waliendelea kupigana wao wenyewe kujiletea maendeleo lakini baada ya Shelali na ndugu yake BIM kufilisika ndiyo wakaona warudi tena Mwanza na wajirudishe kwenye bodi za Thaqaafa na msikiti wa Ijumaa.

Bahati mbaya wamerudi wamekuta waumini tumeamka na kusimamia mali za waislamu kubwa Msikiti sio tena
mali ya familia ya Abdallah Amini na Kituo cha Mayatima sio Mali ya Familia ya Shelali.

Ujio wao na mtazamo wao huo ndiyo mwanzo wa migogoro ya msikiti wa Ijumaa na Thaqafa pia.

WANAPIGANA KWA NGUVU ZAO ZOTE ILI WAWEZE KURUDI KATIKA HIZO BODI.

Tuna wajulisha hizo ni NDOTO
Hawatafanikiwa kurudi..
Waumini wa msikiti wa Ijumaa hatuwataki Sherali na nduguye Bim wasishiriki uchaguzi wa msikiti wa Ijumaa

Baada ya kushindwa kila kesi mahakamani juhudi kubwa na hujuma zinafanyika ni kujaribu kuota ndoto ya
kama watarudi msikiti wa Ijumaa kupitia uchaguzi wa viongozi wa bodi.

Sisi kama vijana na waumini wa msikiti wa Ijumaa kupitia kamati hii maalumu tunapenda kumfahamisha Sherali na nduguye Bim wasisogelee uchaguzi wa Msikiti wa Ijumaa kwani watapata aibu ya mwaka hawata isahau.

Ndugu waislamu kama muislamu anaweza kuwashitaki mayatima ili mradi tu yeye apate hela na hana hata chembe ya hofu kwamba yatima wale watakwenda wapi?je mtu huyu ni muislamu kweli au ni pandikizi tu
ndani ya uislamu?

WAISLAMU WA MWANZA AMKENI SHERALI SIO MTU MZURI TUAMKE TUWANUSURU
YATIMA.
MKIMUONA SHELALI BARABARANI MUULIZENI
JE HAJUI KAMA HIZO HELA AKIPATA HAJUI KAMA ANAUZA AKHERA YAKE KWA
MATAMANIO YA DUNIA...HAONI kuwa atakuwa anakula moto...Sisi, Kamati maalumu ya waumini wa
Msikiti wa Ijumaa Mwanza..
Someni albadir masheikh wangu
 
Huyo kwenye picha ndio nani ??
 
Niletee hiyo kesi nikusaidie mkuu....Tuwasiliane
 
Kesi zenu waislam ni njaa tu inawasumbua na chuki, Magongo Maruzuku wa Thaqaafa mmemtingisha mmeshindwa now mmehamia kituo cha yatima njaa hizo, Abdul Abeid nae atawashinda tu hamna lolote wakristo ndo mawakili Mwanza muulize Mansoor Magongo mhasibu Thaqaafa nani wakili wao? Alafu rudisha jibu mezani hapa. Mnayumbisha watoto masomo kwa chuki zenu
 
Back
Top Bottom