Sababu zitakazokufanya wewe binti usiolewe

Yaani mimi huwa nawakubali sana wazee wa kariba yako MZEE RAZA, wazee hawana noma wala miyeyusho, ungekuwa karibu ungekula viposho posho vyangu maana unajua kuninadi vyema...heko kwa hilo...ahahha

"Hendisamu boy" wa kitaa naishi karibu na hostel ya wanachuo hapa mkoani kwangu..mpaka ulimbukeni wa mademu umeisha maana kila sampuli nishapiga shoo kwa kiki la UHB na Ndinga..mpaka wale midget.. I mean vile vidada vifuuupi yeaah vimbilikimo ambavyo ndivyo vilikuwa fantasy yangu hapo awali..nimetawanya!!..nna mengi ya hapa hostel kwa wananzuoni MZEE RAZA?

Vipi wazee wa siku hizi na nyie mko vizuri nikuunganishe na wew uje usimamie show maana ng'ombe hazeeki maini MZEE RAZA?
Ni mkoa gani huo na ni hostel ya chuo gani au Tumaini Iringa??

Mjukuu wangu mm nna wake wanne, hizo mambo ni zamu yenu nyie mahendisamu boy wenye under 30 yrs of age!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom