Sababu zipi zinasababisha chuchu za binti ambaye hajazaa kuanguka (yaani kuwa kama anayenyonyesha)?

Sgaga mbona wewe mdudu wako umelala masaa yote?si na wewe uwe unasimamisha masaa yote,since u lik vitu vilivosimama?

Nashauri usimuoe binti wa watu,umeshaanza ivo,baada ya muda mfupi wa kuoana utaanza kutafuta wenye maziwa yaliyosimama.
 
Si kweli watu wa siku hizi wanawahi kuliko zamani! Zamani ukivunja ungo tu, ndoa tayari, hapo ni 11, 12 hadi 17 sasa utasema vipi siku hizi wanawahi?

Nadhani anamaanisha kuanza ule mchezo wa tabia mbaya maana sku hizi watoto
hawaogopi kabisa maana zamani ukitaka kufanya unasema twende tukafanye tabia
mbaya ila sasahivi mtoto anampa mwenzake makavu live live.
Au unasemaje lara 1.
 
Dah, kumbe watu wananitamani saa sita yangu hapo kwenye avatar japo yanyonywa na watu wawili?
 
Dah,mwambie asivue bra wakati mna-do,halafu km huku kunapo-mata kuko poa,endeleza
 
Mchumba wako ni Maziwa Tu au mtu kama alivyo????????

Vijana acheni mtindo wa kuoa vitu, oeni wake zenu

Hayo ni Maumbile yake na ndivyo alivyo

au unataka MCHINA?????????
 
Daa ndio matatizo ya kupenda kwa jujuuu! Umependa sura akipata kovu unaanza kulia, umependa chuchu saa sita ya kianza kulala unashangaa wakati kila binadamu ana mabadiliko ya kimwili, una sahau haya wezi kusimama milele!

Hayo ni maumbile tu kwani me nimeshuhudia wasichana vicheche lakini chuchu saa sita kama ana miaka 12!
 
Wewe kama sio wa 6 basi wa 7.Wewe mega tu halafu usepe.Hiyo ardhi haina rutuba ina hitaji mbolea sana.Kama wewe mzungu komaa.Kama choka mbaya katafute ardhi nzuri.
 
Dah,mwambie asivue bra wakati mna-do,halafu km huku kunapo-mata kuko poa,endeleza

Hili nalo neno
 
Amekujibu Kaunga kuwa inawezekana ni maumbile, maana pia wako waliozaa na wanaonyonyesha lakini pia matiti yao hayajaanguka. Kama umempenda na umeridhika na tabia zake we endelea nae tu usije ukamtafutia visababu na kujikuta unamchukia kwa kosa lisilo lake.

Umenena vyema wake mkuu, ila kama kipaumbele chake kwa mwanamke ni matiti madogo tu, atafakari upya misingi ya upendo wake kwa huyo mchumba wake.
 
Fahamu tu kwamba matiti yapo aina kwa aina, sio yote huwa yanasimama. Kuna wanawake hawajawahi kuona matiti yao yapo saa 6! So huenda kwa huyo binti pia ni issue ya maumbile tu. Usimfikirie vibaya.
nina shangazi yangu mtu mzima sa, wakati alipokuwa ananyonyesha alikuwa hanyonyeshi mbele ya mtu.....full kujifungia au kujifunika. siku moja akiwa ana mtoto wa 4 akawa yupo chumbani ananyonyesha akaniita nimsaidie kitu, jamani matiti yalikuwa kama ya mdada ambaye hata hajawahi chumbiwa, lol!
sasa huyo angekutana na mtu kama huyu, pamoja na kuwa na watoto wanne jamaa angeona ni binti ambaye hajui lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom