Sababu za wanaume kupenda nyumba ndogo.

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana.
2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana.
3-wanajua sana kudekeza na kuwajali wapenz wao.
4-wanavutia na wamekaa kinyegenyege.
5-wanatoa stress unazopatapa nyumbani.
Hizo ni baadhi tu, kama zipo za ziada ziweke hapa.
My take:- mke wa mtu sumu.
 
sina kawaida ya kugonga thanx nimefanya hv kwako. Nilitaka kuanzisha thread km hii. Nitachangia kesho via PC. Via Mobile bado yanizingua
 
Ha ha haaaa, mkuu sina uhakika na hayo ila hiko kigezo chenye red mmmmmhhhhh, itabidi na mimi nikiingia nijaribu nione!!!
 
Si unajua tena mchezaji anapotaka kuitwa timu ya taifa juhudi anazoinyesha ni balaa. Sasa subiri apate number ya kudumu, utaomba ardhi ipasuke. Wanawake nao hivyohivyo kabla hujamuoa juhudi nyingiii ukioa tu bwana weee...
 
Wanawake mlioolewa mnaipata hiyo? Mnasemaje? Swali langu kwa mtoa mada ni je ina maana kwamba hata mwanamke aliyeolewa nae akitoka nje anakuwa mchezaji mzuri!?
 
mbona mkiwaacha wake zenu mkawaoa hao mnatafuta nyumba ndogo zingine kama si hila ni nini,si huwa wana vigezo vyote:rain:
 
Akiolewa anakuwa mama wa nyumbani hivyo na yeye hujisahau.
 
Si unajua tena mchezaji anapotaka kuitwa timu ya taifa juhudi anazoinyesha ni balaa. Sasa subiri apate number ya kudumu, utaomba ardhi ipasuke. Wanawake nao hivyohivyo kabla hujamuoa juhudi nyingiii ukioa tu bwana weee...

Respect mkuu,
Sema wewe manake me ntaonekana nachonga. Lol
 
sina kawaida ya kugonga thanx nimefanya hv kwako. Nilitaka kuanzisha thread km hii. Nitachangia kesho via PC. Via Mobile bado yanizingua

DA inabidi uongeze speed yako ya kugonga THANKS kama nilivyokuomba siku zileeeee hahahahahaha hebu angalia uwiano wako LOL!
 
Back
Top Bottom