Mi nauliza maiti ingekuwa ya Mwislam ingetupwa barabarani namna hii?
tatizo igp yupo kama picha...maagizo yote kuhusu polisi yanatolewa na ccm...to hell
napata shida kidogo na kujiuliza KWANINI NDUGU WACHUKUE MAITI USIKU? Na vipi ndugu hao waliochukua maiti na kusindikizwa na polisi vipi wazishushe maiti hizo barabarani?
kazi ipo Tarime.
Tanzania hakuna kiongozi mwenye akili katika Jeshi la Polisi.
constantine massawe ni muislamu?
Viongozi wa nchi hii ni vema mkajiuliza hali hii mpaka lini? Waswahili husema "bandu bandu humaliza gogo"