Sababu za msingi za kumpiga mwenzi wako!

na mtoto akikosea unamfanya nini? Wewe ukikosea anakulamba makofi?
Wanawake mnaanza kupigwa kdg kdg leo kofi moja kesho mawili mtondogoo ngumi, mwishowe atakucharanga na visu

sasa mtoto utamlinganisha na mtu mzima? kwa bahati mbya/nzuri cjawahi kumkosea.
 
Anayekuudhi/aliyekuudhi duniani ni mkeo tu? Mwalimu wako hajawahi kukuonea, utawala wa sasa hujawahi kuudhi? Hujawahi kunyimwa haki zako? Je kwanini huwanasi vibao hao wengine?

Unamnasa kibao mkeo kwakuwa wamliki, au kwakuwa hawezi jidefend? Mimi nakuona weak; n u take all ur trouble to the vulnerable and defendless being like mkeo!

huwezifananisha maudhi ya ndani ya nyumba na ya kwake politics kaka....
 
Two Wrongs dont make a Right...

Hakuna sababu hata kubwa vipi inayo-justify kumpiga mwenzako..., au kupigana sababu akikuanza kukupiga ukamrudishia thats kupigana.., kama hamuwezi kukaa pamoja bila makonde its better mmoja akachukua hamsini zake cause ugomvi wenu unaweza kuleta athari kwa watoto...

Kuhusu sababu ya kufanya hivyo sio moja wala sio general kwa wote ;
tabia; addiction ya kupiga na kudhani bila kupiga hawatapata wanachotaka; mila na desturi; ni njia rahisi ya baadhi ya watu kutoa hasira zao; domination tendencies; low self esteem; insecurity n.k.
 
huwezifananisha maudhi ya ndani ya nyumba na ya kwake politics kaka....

Great, sasa naona nitapata sababu ya kumpiga mwenzi wako! Eeh ni maudhi gani yanayoleta uhalali wa kumpiga mwenzio? Pls help me there!
 
VoR l salute u bro! Nakubaliana mchango wako; natumaini wanaume/wanawake ambao wanaprove uanamume/uke kwa mangumi wamekuelewa pia!

I wish wangejiuliza b4 what exactly do they want to achieve, kama ni kumksnya that has never been the effective way; na kama ni njia ya kutoa Hasira watumie njia ya kujizuia kama wanavyofanya kwa watu wengine kwani mimi naamini akusababishiaye maudhi si mkeo/mmeo tu!
 
hapo kwenye red mkuu naona bado unaongelea wanawake wa kipindi cha mama zetu co hawa wa dot.com

wanawake hawa hawa, unapooa/kuolewa unakua umekubali mazuri na mapungufu ya mwenzio, na unakua umemsoma vyema kwa nini mpigane? Akikuudhi zungumza. Usemi huo una maana kubwa kwenye ndoa.
 
Two Wrongs dont make a Right...

Hakuna sababu hata kubwa vipi inayo-justify kumpiga mwenzako..., au kupigana sababu akikuanza kukupiga ukamrudishia thats kupigana.., kama hamuwezi kukaa pamoja bila makonde its better mmoja akachukua hamsini zake cause ugomvi wenu unaweza kuleta athari kwa watoto...

Kuhusu sababu ya kufanya hivyo sio moja wala sio general kwa wote ;
tabia; addiction ya kupiga na kudhani bila kupiga hawatapata wanachotaka; mila na desturi; ni njia rahisi ya baadhi ya watu kutoa hasira zao; domination tendencies; low self esteem; insecurity n.k.

kweli kbs.
 
unazungumzia kumpiga mke kwa vp,say amekosa/amefanya maudhi au basi tu wajisikia kumpiga. wangu alishawahi kuniudhi nilimnasa vibao viwili na later aligundua kuwa ni kweli alikosa. hii nayo utasema ni nn?

hivi unajua madhara ya vibao viwili kwa mwili wa mwanamke?ukishaanza kujitetea kuwa u were right to beat her eti ni vibao tuu, i swear wewe utarudia tena n next time haitakuwa vibao tu,na ngumi juu, acha hiyo tabia mara moja haikupendezi kabisa na wala hukupaswa kujisifu
 
sasa mtoto utamlinganisha na mtu mzima? kwa bahati mbya/nzuri cjawahi kumkosea.

embu acha haya mambo bana wewe ukae na mtu mzima mwenzio mwaka mzima mnalala chumba kimoja unakuja hapa hadharani unasema hujawi kumkosea?? au ni vile binti wa watu ni mpole hakwambii basi ndio unajiona wewe malaika? mwenzio anajitahidi kuyakubali mapungufu yako n that doesnt mean haukosei, stop physical abuse to women acha kabisa
 
Nailyne you can say it again!

Sikutaka kumjibu maana nilimuona mbishi tu; especially anaposema kuwa hajawahi kumkosea mwenzie! Huo ni ubabe tu na kutojiamini; huenda pia amekulia kwenye abusive home, baba kumpiga mama yake ilikuwa ni sehemu ya maisha! Na kwakweli hii ni mbaya kwani watoto wanajifunza toka kwetu!

Nakumbuka mimi mtoto wangu alimuuliza stepdad wake; kwamba kwanini unampiga mama? Aisee ilipofikia hivyo nikasema enough kwani sikutaka mwanangu aathirike kisaikolojia!
 
Ninavyo fahamu hakuna sababu maalum ya kumpiga mwenzi wako
Ukiondoa hali ya hasira iliyoshindwa kudhibitiwa
Au hali ya uanaumelism
Au kutoka kushuka
Au kutochukuliana n.k
 
inawezekana unaamini mwanamke akipigwa ndo anajua kapendwa? Hv unampiga huyo ni mtoto? Na pale mwanaume anapokosea,mwanamke ashushe kipigo au kwa kuwa wao hawana nguvu? Mie nadhani ukimpenda mke/mume na kumthamini huwezi kunyosha mkono wako juu yake, mtazungumza kama watu wazima na kumaliza tofauti. Kumpiga mwenza wako ni dharau ya hali ya juu.

Mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa na kitenge tena wax original

Mke wangu nilishawahi kumdunda alinijibu vibaya mbele ya mama mzazi nikampeleka chumbani tukajadiliana akakiri kutorudia tena akaja akanijibu tena vibaya mbele ya dada yangu nilimwita chumbani nikampa za ndosi tangia siku hiyo heshima mbele
 
Ninavyo fahamu hakuna sababu maalum ya kumpiga mwenzi wako
Ukiondoa hali ya hasira iliyoshindwa kudhibitiwa
Au hali ya uanaumelism
Au kutoka kushuka
Au kutochukuliana n.k

Bado swali langu linashindwa kujibiwa, je ni mkeo tu anayekukasirisha duniani? Ni wanaume wachache sana hupigana nowadays (club mostly) lkn wasioweza kuwaface wanaume wenzao ndio wanaongoza kuwapiga wake zao!

Kwangu mimi uanaume ni kusolve matatizo in a mature way na sio kupiga! Kupiga ni sign kubwa ya weakness na insecurity!
 
Mke wangu nilishawahi kumdunda alinijibu vibaya mbele ya mama mzazi nikampeleka chumbani tukajadiliana akakiri kutorudia tena akaja akanijibu tena vibaya mbele ya dada yangu nilimwita chumbani nikampa za ndosi tangia siku hiyo heshima mbele

Hivi ulijiuliza kwanini anakujibu vibaya? Na unauhakika hicho kilichomfanya akujibu kunya kimeisha?
 
Hivi ulijiuliza kwanini anakujibu vibaya? Na unauhakika hicho kilichomfanya akujibu kunya kimeisha?
Najua wengi hamjaishi kwenye ndoa ila mara nyingi wanawake ni watu ambao hawawezi kustand by their own wanataka kila kitu wasimamiwe au wakumbushwe so kwa wale ambao hatuwezi vumilia actions must take place
 
Nailyne you can say it again!

Sikutaka kumjibu maana nilimuona mbishi tu; especially anaposema kuwa hajawahi kumkosea mwenzie! Huo ni ubabe tu na kutojiamini; huenda pia amekulia kwenye abusive home, baba kumpiga mama yake ilikuwa ni sehemu ya maisha! Na kwakweli hii ni mbaya kwani watoto wanajifunza toka kwetu!

Nakumbuka mimi mtoto wangu alimuuliza stepdad wake; kwamba kwanini unampiga mama
? Aisee ilipofikia hivyo nikasema enough kwani sikutaka mwanangu aathirike kisaikolojia!
kaunga hapo wkenye red umeniliza dada. kweli watoto wetu tunawaweka kwenye wakati mgumu sana. Jamani hii thread mbona inatufanya tufunguke kuliko?? imenikumbusha rafiki yangu mwanae wa mwaka na nusu enzi hizo alikimbilia kabatini akilia baada ya kuona baba yake anataka kumpiga mama yake............ bahati nzuri wote wawili walijikuta kwa wakati mmoja wanamkimbilia na kuanza kumbembeleza. But ni picha mbaya sana tunayowapatia wenetu.

Mimi ninamshukuru MUNGU kwa hapa nilipo kusema ukweli ninaishi kwa amani ya ajabu na hata zile tabia za ubabe alizoanza kuzionyesha mwanangu zimetoweka.
 
Najua wengi hamjaishi kwenye ndoa ila BAADHI ya wanawake ni watu ambao hawawezi kustand by their own wanataka kila kitu wasimamiwe au wakumbushwe so kwa wale ambao hatuwezi vumilia actions must take place

Baba Erick bana........kumbe kile kiapo cha kitakupenda katika shida na raha, ugonjwa na afya.......nikupende, nikulinde, nikutii huwa kinamaanisha nini?

................Mimi nina mtaamo tofauti kidogo kuwa kama ni hacra ndo inakupelekea kureact namna ile nitakuelewa yaani ile mnaita reflex action.......imetokea ghafla ukajikuta tu umerusha kibao kwa kuwa kakuudhi! But eti unamwita mpaka chumbani hujaweza tu kudhibiti hacra zako??

Wanasema kama unajijua kuwa una hacra, jifunze kuwalk out of an argument!
 
kweli kaka unayosema na wanapokosea hawataki kukiri kosa huwa wanabisha au kutopenda kuomba msamaha au kuonyesha kujutia kosa.
 
Back
Top Bottom