Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

Mbuzi mee

Senior Member
Dec 29, 2022
126
161
Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli

Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni
Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi hiki waislamu wako kwenye mfungo,hivyo marafiki wakristo hupika kiasi kidogo tokana idadi yao.
Pia hata waislam na wakristo hufanyaga mahitaji ya vyakula vinapendwa kuliwa sikukuu bila kujali ni sikukuu ya DINI.

Wafanyabiashara wa mavazi
Hawa pia walilalamika biashara haikuwa nzuri..hii tokana na ukweli sikukuu kwa ajili ya mtoko ilifanyika upande mmoja tofauti sikukuu zingine watoto wote hufanyiwa shopping na wazazi/walezi wao bila kuangalia ni sikukuu ya DINI na watoto hupelekwa sehemu moja kusherehekea pamoja sikukuu hizo kwa upendo wadini zote mbili

Hata pia kwa upande wa watu wazima kuanzia kwenye mahotel,ma bar n.k kipindi cha sikukuu hali hutokea

Ukija maisha ya mtaani ni tofauti na mitandaoni katika malumbano ya dini
Huko watu wanaheshimiana sana na pia hujizuia kuongelea mambo ya dini na kwa sasa koo nyingi zinamchanganyiko wa dini zote si kama zamani
Na hata wakiongea uongelea katika namna ya kistaarabu sana..
Mfano kuna marafiki flani dini tofauti kazin mida ya lunch hutoka pamoja mmoja humuacha mwenzie mgahawa wa wa pemba na yeye huenda tafuta kiti moto kila mmoja akimaliza lunch hupigiana simu na hurudi pamoja
Hata kwa VIONGOZI wa dini huku mtaani asilimia 90 huheshimiana sana na kwenye matukio ya kijamii mara nyingi hukuta wamekaa pamoja wanabadilisha mawazo

Hata hawa wanaofoka foka na kukashifu dini za wenzao mitandaoni mtaani ni huwa tofauti na wala huwezi kuwajua km ndio wao huwa na heshima huepuka sana kuongelea masuala ya udini na pia huona aibu kuwa wasemaji wa mambi ya kidini sababu jamii husika huwajua ndani nje tabia na mienendo yao..hukuta hata kwenye hiyo hiyo dini yao hutengwa au hawatiliwi maanani kwa ajili ya tabia na mienenendo yao.
 
Wenzetu nachowasifiaga ni watakatifu na wanajituma kwenye ibada sana hadi mabikra wao wote hawana marinda pamoja na wale 72.

FB_IMG_1679420583643.jpg


hydroxo The Icebreaker
 
Back
Top Bottom