Sababu ya mimi kutotoa likes!!

kumbe tupo wengi,ila me nkipata chance ya comp natoa likes ya kufariki mtu. Pamoja sana shostito!

Mkuu Ruhazwe, ameandika hapa kuwa kuna option ya Desktop (kwa simu zenye akili); ukigonga kwenye D/top unaweza ku-like au ku rate thread; tatizo liko wapi?
 
ah mi na pinda.. hahaha siku hyo ntashinda ndani siku nzima.!! vp lakin, umefanikiwa kuingia ndan.??

niingie kupitia wapi ndugu yangu!......mwanamke kakomaa sinikabidie niende kulala kwa mjumbe,ile asubuh nakuja na mjumbe wa nyumba kumi nakuta mifuko yangu ya rambo inanisubiri.kaandika taraka kwa makapeni,unachezea madame B nini.wamesuluhi wee nikasamehewa lakn ndan kumebanana
 
Mkuu Ruhazwe, ameandika hapa kuwa kuna option ya Desktop (kwa simu zenye akili); ukigonga kwenye D/top unaweza ku-like au ku rate thread; tatizo liko wapi?

kumbe kwa simu zenye akili tu na zisizo kua na akili je?
 
Jamani kuna watu wanalalamika sitoi likes na wakati mimi napewa..the thing is ninatumia jf mobile na hakuna kitufe cha like!wote wenye dukukuduku nadhani nimejibu swali lenu!
likes given zero,received 209....haya bana,sijui nimekusahuje kwenye thread yangu ya 'likes hazilipiwi LUKU,ngoja nikamtoe Angelmsofe nikuweke wewe.
 
Mkuu Ruhazwe, ameandika hapa kuwa kuna option ya Desktop (kwa simu zenye akili); ukigonga kwenye D/top unaweza ku-like au ku rate thread; tatizo liko wapi?

ushasema cm zenye akili,yangu haina akili mkuu! hata hyo top ya dawati cjaiona!
 
Jamani kuna watu wanalalamika sitoi likes na wakati mimi napewa..the thing is ninatumia jf mobile na hakuna kitufe cha like!wote wenye dukukuduku nadhani nimejibu swali lenu!

Acha kujidai, kwahiyo hujawahi log in JF hata siku moja kwa kompyuta(uwongo mkubwa)..??? Mimi mwenyewe hutumia simu sana nikiwa in mobility , but kuna post nyingine huwa zinanoga saana na kwa simu ladha inapungua, hivyo lazima nitafute pc iko wapi nilog in nisome post yote vizuri na comments zote kwa kujinafasi...!!!
 
Back
Top Bottom