Sababu muhimu kwanini Urusi hawezi shinda vita dhidi ya USA

Barya

JF-Expert Member
May 5, 2012
950
1,190
Miezi kadhaa iliyopita tumesikia majigambo ya hapa na pale juu ya URUSI kuhusishwa na maandalizi ya VITA KUU YA TATU YA DUNIA, na inaposemwa vita ya dunia zinakuwa pande mbili zinazopingana kufuatana na mienendo mbali mbali, na pande zinazopingana ni lazima ziwe na nguvu ya juu sana duniani na zinakuwa na wafuasi ambao ni vi nchi omba omba vya ulimwengu wa tatu, na wafuasi wengine ambao wanakuwa na visa dhidi ya taifa fulani,

Kwa wanaoangalia mzozo juu juu watadhani vita ya Tatu endapo ikitokea watahusika U.S.A na RUSSIA tu, hapana bali nchi zote ombaomba ikiwemo ya kwako iliyosema haitafungamana na upande lazima iumie,

SABABU ZA KWANINI URUSI HAWEZI ANZISHA VITA DHIDI YA MAREKANI NA KUPELEKEA VITA YA TATU YA DUNIA NI KUWA ANAJUA ATSHINDWA VITA HIYO NA SABABU ANAZOJUA ZITAMFANYA ASHINDWE NI ZIFUATAZO,

1, USA ni mratibu namba moja ulimwenguni kwa kuratibu vituo na kambi za kijeshi kila sehem duniani(millitary bases) kwa idadi 38, ambazo zina mafunzo sahihi, ya vitendo , vimeimarishwa kwa rasilimali watu(wanajeshi), wana usalama na ulinzi, mfano pale ujerumani RAMSTEIN AB na idadi wa wataalamu wa mbinu za kijeshi 9,200. na kwenye nchi nyinginezo pia, hii inampa nguvu USA kuwa na uhakika wa kushinda vita endapo haitakuwepo kuhusika kwa matumiz ya mabomu ya nyukilia,

fungua
List of United States Army installations in Germany - Wikipedia

na mifano zaidi ya bases za nje ni kamaifuatavyo
ushirikiano wa USA na nje (over seas)
2. IDADI YA WANAJESHI
idadi ya wanajeshi wa USA waliotiyari kwa lolote ni 145,215,000
ukilinganisha na idadi ya wanajeshi wa RUSSIA ambao ni 130,000,000

3.TEKNOLOJIA
----AIRCRAFT CARRIER STRENGTH,
USA Wana air craft 19 zenye uwezo wa kwenda popote baharin na zikapiga kambi kikawa kama kisiwa na shughuli za kijeshi zikawa based hapo bila kuomba hifadhi, lakin URUSI ana 1 nayo ndogo
---Attack aircraft represents the fixed-wing bomber and ground attack force of a given country
hizi aircraft nimuhim sana katika jeshi lolote lile ambalo liko tiyari kupigana kimataifa na kupata ushindi, hawa wote wawili wanayo haya ma aircraft na takwimu hizi
USA...........2,785
RUSSIA......1,438
Kwa kifupini kwamba marekani anazo mara mbili ya RUSSIA

-----Fighter Aircraft
Wakati FIGHER AIRCREFT za URRUSI ni 751 ambazo ni za zamani miaka ya 90, USA ana 2,308 ambazo ni za kisasa na invisible ambazo score of stealthiness, armament, speed, range, maneuverability and technology ni kubwa na za kisasa.
mfano -Nr.1 Lockheed Martin / Boeing F-22 Raptor
-Nr.2 Lockheed Martin F-35
-Nr.3 Boeing F/A-18E/F Super Hornet

USA 2,308
RUSS 751
------SUB MARINES
USA ---75
RUS---60

-------MLRS (Multiple Launch Rocket System) Strength, HAPA RUSSIA ANAZ NYINGI KUMZIDI MAREKANI,
RUSSIA-----3,793
USA------- 2,309

4. Uwekezaji na bajeti katika jeshi, hapa ndipo majeshi yanaimarishwa kuimarisha vifaa na teknolojia, na kuongeza ari ya kujituma kwa wanajeshi husika katika mazingira yeyote yale yanayoendana na jeshi kwa ujumla, inaoekana jeshi la marekani linapata maboresho na uwekezaji zaidi mara 12 ya lile la URUSI,
USA 581,000,000,000 USD
RUSSIA 46,600,000,000 USD
HII inaonesha dhahiri kuwa america kujiandaa kijeshi ni suala la muendelezo siyo kama nchi zinazoibuka kwa muda tu na kutisha kidogo zikapotea, Upande wa urusi yeye masuala ya kuwekeza kwenye jeshi si sana kama marekani, anategemea teknolojia ya ICBM ambayo ni moja yenye nguvu waliyo nayo na wanaiangalia kwa umakini maana ikifeli hiyo hawana nyingine na hii ni kutokana na kwamba hawajawekeza sana kuibua njia mbadala za kiteknolojia katika jeshi.

5.USHIRIKA KIJESHI NA MAGWIJI/ ALLIANCES

WASHIRIKA WA USA NA NGUVU ZAO KIJESHI
---Nje ya ushirikiano na NATO, pia kuna nushirika kijeshi zaidi na nchi zifuatazo
A. ISRAEL, kila mmoja duniani anatambua nguvu ya Israel kama masuala ya kijeshi na intelligensia , hasa wako na moyo wa kukamilisha jambo wanalopania hawajali gharama zitakazo tumika, kujitoa kwa namna hii kunaamsha ari ya kuleta ushindi,
Nguvy ya ISRAEL kijeshi ni nafasi ya 16 ikiwa GPF ranking points 0.3591
B. GERMANY, hii nchi ni mshirika wa kijeshi wa marekani , Iko nafasi ya 9 GPF 0. 2646
C. ITALY
D. FRANCE
E. ENGLAND
F . TURKEY
G.SOUTH KOREA
H. CANADA
I. NETHERLAND
J. NORWAY

WASHIRIKA WA URUSI NI WALE AMBAO WANA NGUVU LAKIN SI SAWA NA WASHIRIKA WA USA
USHIRIKA UNAOWEZA KUMSAPOTI URUSSI
A.NORTH KOREA ,
B. LEBANON
C. IRAN
D. SYRIA
na vinchi vingine vidogo vidogo vya kiarabu vyenye chuki na marekani,

WASHIRIKA WENYE NGUVU AMBAO WATAJOIN UPANDE MMOJA WAPO KUTOKANA NA INTEREST AU WASIJOIN KABISA
1. CHINA anaweza asijihusishe kabisa na Vita ili kuepuka kuteteresha uchumi wake maana wao wanaangalia fursa tu, lakin pia wanaweza wakaamua nkutoi sapoti MAREKAN kutokana na kwamba JAPAN Atamsapoti , na wana chuki za mda mrefu na JAPAN, na Pia hawatamjoin URUSI kuhofia kupoteza SOKO lao nchini USA,
2. INDIA haeleweki japo ana nguvu kubwa kijeshi na ataana kusoma upepo, wa VITA inendaje,
3. BRAZIL vile vile hana upande maalum,

ukipitia hapa ukapata uelewa wa kutosha unaweza ukagundua kuwa HAKUTAKUWEPO NA VITA YA TATU YA DUNIA MAANA ANAYEONEKANA KUTAKA IWEPO AKIFIKIRIA HAYO HAPO JUU ANASITA,
NA AKIAMUA ATOKE KWA NJIA YA NYUKILIA , AKUMBUKE USA NDO WENYE NYUKILIA SANA , NA WAMEKUWA WAKI HADAA DUNIA KUWA HAWANA NYUKILIA KUMBE WANAZO NA PUTIN ANALIJUA ILO, PIA UKIZINGATIA NA SABABU ZILIZOPELEKEA KUVUNJA MKATABA WAO NA USA JUU YA SUALA LA KUHARIBU NYUKILIA,

SOMA ELEWA ONGEZEA KOSOA TUREKEBISHE,
 
K. BRAZIL

Kama kweli USA angekuwa na hizi nguvu unazosema Afganistan kungeshakuwa shwari kama maji mtungini
 
Kwanza Ninavyojua Russia hawezi kuanzisha vita ya 3 ya dunia maana wote wanaogopana na marekani...

Pili swali Dogo tu kwa urusi ni mtoto Mdogo kwa USA kwanini marekani akiweka vikwazo vya kiuchumi urusi analialia kwanini na yeye kama ni superpower asimuwekee vikwazo Marekani?

Hapo ndipo unapoanza kuoji uwezo wa Russia kuanzisha vita zidi ya marekani na washinde hii ni ngumu ..!!!!
 
Swali zuri sana, kwanini naye hasiweke vikwazo kwa mrekani?
 
Mtoa mada go and do your homework first and get your FACTS right before bringing your thoughts to the table...World war is not only about Russia and USA ni mataifa yote makubwa ya Dunia yanaungana against each other.In other words, Russia ana washirika wake kama Iran,China,North korea etc and USA has NATO with him.There is NO WAY USA and it's Allies atashinda against hizo nchi nilizotaja hapo.Ukifuatilia vita ya Syria utajua kiundani and according to the media and propaganda around the first world countries ni kwamba world war imeshaanza na imeanzia Syria coz mpaka sasa hakuna suluhisho, na dhumuni la USA with his Allies(NATO) la kumtoa madarakani Bashir Al Assad limeshindikana na lawama zote anapewa Obama.And the media in the western world has suddenly become negative on Obama at the moment.
 
Hivi mbona mnahangaika sana na vita, vita ,vita, imaana nyinyi mnajua sana kuliko wao Urusi na Marekani. Kifupi tu nikuambie mleta mada, hakuna vita baina ya nchi hizo itakayotokea.
Ndo maana nami nasema hakuna vita itakayotokea kwasababu mmoja anajua atafeli vibaya sana
 
Mtoa mada go and do your homework first and get your FACTS right before bringing your thoughts to the table...World war is not only about Russia and USA ni mataifa yote makubwa ya Dunia yanaungana against each other.In other words, Russia ana washirika wake kama Iran,China,North korea etc and USA has NATO with him.There is NO WAY USA and it's Allies atashinda against hizo nchi nilizotaja hapo.Ukifuatilia vita ya Syria utajua kiundani and according to the media and propaganda around the first world countries ni kwamba world war imeshaanza na imeanzia Syria coz mpaka sasa hakuna suluhisho, na dhumuni la USA with his Allies(NATO) la kumtoa madarakani Bashir Al Assad limeshindikana na lawama zote anapewa Obama.And the media in the western world has suddenly become negative on Obama at the moment.
We kijana inaonekana hujuhi mambo ya.milengo nyakati, kila inapokuja suala la marekani kupata kiongozi mpya huwa inaonekana kiongozi aliyepo kukubalika kwake kushuka, na hii yote ni kwasababu campaign zinakuwa all over the world,

Ilikuwa hivyo kwa BUSH SENIOR. CLINTON. BUSH JUNIOR, HIVYO HATA KWA OBAMA NI LAZIMA,

You should first present concept supporting your comments on my NATO and USA won't win that battle in case happen,
 
Kitu ambacho ninajua mimi siku zote mambo ya kijeshi ni siri ya jeshi lenyewe.

Ni ngumu sana taarifa za jeshi la urusi au USA kusambaa mitandaoni kwa taarifa kama hizi ambazo hazina uhakika na hayo yote yaliyosemwa,jeshi huwa lina siri nyingi ambazo hata mitandaoni huwezi kuzikuta hii ni kwa manufaa yao katika kukabiliana na maadui wake.

Urusi na Marekani tunazijua kupitia mitandao na ila wenyewe ndio wanajua undani na ukweli wa majeshi yao, tunaweza kusoma mitandaoni urusi wana ndege mbili za kivita kumbe wanazo tatu.

Hakuna uhakika wowote wa taarifa hizi, majeshi huwa yana siri kubwa na nzito ambazo huwezi kuzipata kwenye mitandao.
 
Swali zuri sana, kwanini naye hasiweke vikwazo kwa mrekani?
USA will stay the only superpower national in our universe kwa sababu ya Sera zao ni developing policy wanapanga mambo ya miaka 50 + ijayo wakati vinchi vingine havijui kesho wataamka vipi...

Alafu kitu ninachowashangaa watu wengine vita ya marekani ikitokea wanaona kana sijui atapigana Obama na Putin.

Na kusahau kuwa hawa watakuwa pembeni Sera za nchi zao ndio zitakuwa zinafanya kazi.

Wengine wanafikiri Obama ameleta vita Syria na kusahau Sera za Obama pekee haziwezi Fanya kazi obama ukaa na kushauria na Jeshi la marekani, Waziri wa Ulinzi wa marekani,Baraza la Sennett, Na waziri wa mambo ya nje wa marekani...

Ukweli unabaki pale pale Sera ya marekani ni kudhibiti dunia hata aje rais mpole kiasi gani atafundishwa umafia na system ya nchi mambo yanakuwa yameshapangwa mapema.

Ndio maana ukiangalia kwa makini hata sasa hivi kwa nini Rais atachaguliwe mwezi wa 11 na aje kuapishwa Mwaka kesho?

Atakuwa akifanya nini muda wote huo?

Kama sio kufundishwa jinsi ya kuendesha mfumo uliowekwa na Sera za muda mrefu za nchi hiyo?
 
Kwanza Ninavyojua Russia hawezi kuanzisha vita ya 3 ya dunia maana wote wanaogopana na marekani...

Pili swali Dogo tu kwa urusi ni mtoto Mdogo kwa USA kwanini marekani akiweka vikwazo vya kiuchumi urusi analialia kwanini na yeye kama ni superpower asimuwekee vikwazo Marekani?

Hapo ndipo unapoanza kuoji uwezo wa Russia kuanzisha vita zidi ya marekani na washinde hii ni ngumu ..!!!!
Swala la vikwazo hata marekani ikiwekewa vikwazo itaathirika pia,ndo mana marekani hawezi ingia vitani peke yake hiyo inatokana na sababu za kiuchumi,na zingine za kimbinu,hivi unajua kwann marekani anawaganda sana nchi za umoja wa ulaya zisisambaratike?fikiria ndo ujue hakuna shujaa wa vikwazo,
 
Kitu ambacho ninajua mimi siku zote mambo ya kijeshi ni siri ya jeshi lenyewe.

Ni ngumu sana taarifa za jeshi la urusi au USA kusambaa mitandaoni kwa taarifa kama hizi ambazo hazina uhakika na hayo yote yaliyosemwa,jeshi huwa lina siri nyingi ambazo hata mitandaoni huwezi kuzikuta hii ni kwa manufaa yao katika kukabiliana na maadui wake.

Urusi na Marekani tunazijua kupitia mitandao na ila wenyewe ndio wanajua undani na ukweli wa majeshi yao, tunaweza kusoma mitandaoni urusi wana ndege mbili za kivita kumbe wanazo tatu.

Hakuna uhakika wowote wa taarifa hizi, majeshi huwa yana siri kubwa na nzito ambazo huwezi kuzipata kwenye mitandao.
Hujui data zinapatikanaje? Mambo yote yako wazi, na kumbuka wanauziana ma silaha na kujua kila kitu, kuna upelelezi, na nyanja mbalimbali.zinazowezesha kujua majeshi yalivyo,

Mfano hapa Tanzania uimara wa jeshi letu uko ranked 87, lakin nimeshangaa watu mnasema 27, hatusemi kwa vitendo inabidi tufanye uwekezaji wa maana na mbinu mpya mpya,
 
USA will stay the only superpower national in our universe kwa sababu ya Sera zao ni developing policy wanapanga mambo ya miaka 50 + ijayo wakati vinchi vingine havijui kesho wataamka vipi...

Alafu kitu ninachowashangaa watu wengine vita ya marekani ikitokea wanaona kana sijui atapigana Obama na Putin.

Na kusahau kuwa hawa watakuwa pembeni Sera za nchi zao ndio zitakuwa zinafanya kazi.

Wengine wanafikiri Obama ameleta vita Syria na kusahau Sera za Obama pekee haziwezi Fanya kazi obama ukaa na kushauria na Jeshi la marekani, Waziri wa Ulinzi wa marekani,Baraza la Sennett, Na waziri wa mambo ya nje wa marekani...

Ukweli unabaki pale pale Sera ya marekani ni kudhibiti dunia hata aje rais mpole kiasi gani atafundishwa umafia na system ya nchi mambo yanakuwa yameshapangwa mapema.

Ndio maana ukiangalia kwa makini hata sasa hivi kwa nini Rais atachaguliwe mwezi wa 11 na aje kuapishwa Mwaka kesho?

Atakuwa akifanya nini muda wote huo?

Kama sio kufundishwa jinsi ya kuendesha mfumo uliowekwa na Sera za muda mrefu za nchi hiyo?
Umeongea ukweli kabisa , na hii ni kutokana na sababu Muhim ambazo tutazizungumza baadae, lakin ukweli uko pale pale ,THE SUPER POWER NATION IS USA
 
Back
Top Bottom