Sababu kumi za kushuka kisiasa kwa CUF

Status
Not open for further replies.
Hahahahahah wanajiongezea Masababu tuu,, na sasa wanazidi kupungukiwa wabunge bungeni hahahaha
 
Kumtimua mwasisi wa chama hicho ndugu James Mapalala ndicho kinachowatia watu hawa laaana
Mimi nimkereketwa sana wa Vyama Pinzani, hasa vile vinavyo onesha njia ya Kidemocrasia.. kutokana na hilo nilikuwa najaribu kufuatilia kwa karibu sana chama ambacho kilikuwa na nguvu Bara na Visiwani yaani CUF... nika gundua kwanini sasa kimepooza sana ukifananisha na chaguzi zilizo pita,,

zifuatazo ni sababu kumi za kushuka kisiasa kwa chama cha CUF

  1. Kumuweka mgombea asiye na mvuto, ambaye si chaguo la Wananchi
  2. Kukosa Wagombea Wa ubunge na udiwani wenye Sera Nzito na zenye kuhamasisha wananchi kuwachagua
  3. Uwezo wa uongozi wa wana CUF walio kwenye madaraka si wa kulidhisha sana, kulinganisa na Competition ya kisiasa iliyoko sasa
  4. Kukosa watu wenye kufanya Uwepo wa chama kwa mantiki inayo Fanana na Amani ya Nchi yetu, ikiwa ni pamoja na Kuziponda Hija za Raisi hata kama ni za msingi katika maendeleo ya nchi
  5. Kufanya maandamano yasiyo na msingi wala Faida kwa watanzania bali kuwapotezea Muda wananchi wa kuwasikiliza viongozi wao wanao waamini,,,
  6. Ubinafsi wa uongozi wa juu
  7. Office nyingi kuwa maeneo ya kidini, kufanya watu waamini ni chama cha kidini,,
  8. Moto wa kila uchaguzi,, ambao wasio na fikra wana tafsiri vibaya ""mfano Jinio kwa Jino""
  9. Kukosa mgombea mwenye nguvu kisiasa na Amasa ya kutafuta maendeleo na Kero za wananchi kwa ujumla
  10. Kuto kuaminiana
 
Tumekusoma Mzee,
Tunaomba utupatie na za NCCR-Mageuzi, i wish wewe pia ulikuwepo wakati ule tunalisukuma VX ya Mh.Mrema kwa umbali wa km kadhaaa kuonyesha upendo ni Imani kwake. Dah! Tumetoka mbali saaaaaaaaaaaaaana kisiHasa.
Haya Ngoja tusubiri Tuone miaka 10 ijayo kwa huu upinzani mpya.:smile-big:
 
Mimi nimkereketwa sana wa Vyama Pinzani, hasa vile vinavyo onesha njia ya Kidemocrasia.. kutokana na hilo nilikuwa najaribu kufuatilia kwa karibu sana chama ambacho kilikuwa na nguvu Bara na Visiwani yaani CUF... nika gundua kwanini sasa kimepooza sana ukifananisha na chaguzi zilizo pita,,

zifuatazo ni sababu kumi za kushuka kisiasa kwa chama cha CUF

  1. Kumuweka mgombea asiye na mvuto, ambaye si chaguo la Wananchi
  2. Kukosa Wagombea Wa ubunge na udiwani wenye Sera Nzito na zenye kuhamasisha wananchi kuwachagua
  3. Uwezo wa uongozi wa wana CUF walio kwenye madaraka si wa kulidhisha sana, kulinganisa na Competition ya kisiasa iliyoko sasa
  4. Kukosa watu wenye kufanya Uwepo wa chama kwa mantiki inayo Fanana na Amani ya Nchi yetu, ikiwa ni pamoja na Kuziponda Hija za Raisi hata kama ni za msingi katika maendeleo ya nchi
  5. Kufanya maandamano yasiyo na msingi wala Faida kwa watanzania bali kuwapotezea Muda wananchi wa kuwasikiliza viongozi wao wanao waamini,,,
  6. Ubinafsi wa uongozi wa juu
  7. Office nyingi kuwa maeneo ya kidini, kufanya watu waamini ni chama cha kidini,,
  8. Moto wa kila uchaguzi,, ambao wasio na fikra wana tafsiri vibaya ""mfano Jinio kwa Jino""
  9. Kukosa mgombea mwenye nguvu kisiasa na Amasa ya kutafuta maendeleo na Kero za wananchi kwa ujumla
  10. Kuto kuaminiana

Sababu ulizoweka nyingi ni sahihi ila hizo za udini mmmH! sitaki kuchangi coz hawa jamaa wanawza kuandamana Jamvi lifungwe kabisaaa sasa wewe utafurahi? Subiri CHADEMA ianze kupoke mil 300 kwa mwezi za Ruzuku uone gogoro litakalotokea na CUF itarudi tena juu. Si umeona NCCR walivyolia
 
@ ELNINO weye wasema usiseme uongo. Maandamano ya cuf yaliyopelekea kuuliwa watu wengi mwaka 2001 yalifanyika jumamosi ya januari mwaka 2001. Nyie chadema kama ni wapambanaji mbona hamjawahi kufanya maandamano alau ya kupinga ufisadi? Basi alau jaribuni kupinga haya matokeo kwa maandamano. Nyie hamuendi mahakamani na wala hamuandamani sasa munapigana vipi? Wakati wa kupigania uhuru tanganyika ktk vita vya majimaji zaidi ya watu elf 70 waliuliwa sasa nyie kelele zenu nyingi ni kwenye tv,radio na jf lkn kiukweli chadema si chama kwa ajili ya watanzania bali ni kwa ajili ya maslah ya watu flani tena wachache wanaojifanya wajanja na wanawatumilia watu wajinga kufikia matakwa yao.
 
huyu jamaa alikuwa nanaota jamani Wakristo mbona hawana chama? au CCJ? CCK? maan ando vyama vilivyo anzisha karibuni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom